Uwezo wa Lugha katika Matini ya Siasa Nchini Kenya Kuanzia Mwaka 2002 hadi 2005.

dc.contributor.advisorRyanga, Sheila
dc.contributor.advisorMbaabu, I. G.
dc.contributor.authorAdero, Margan, Carlpeters
dc.date.accessioned2014-03-13T08:19:42Z
dc.date.available2014-03-13T08:19:42Z
dc.date.issued2014-03-13
dc.descriptionDepartment of Kiswahili and African Languages, 83p. The PL 8702 .A3 2005en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unaangazia uwezo wa iugha katika matini ya siasa nchini Kenya. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kudhihirisha vile lugha hutumiwa na wanasiasa ili waweze kuonyesha itikadi zao na pia kupata mamlaka. IIi kuonyesha uwezo wa lugha katika matini za siasa nadharia ya uchanganuzi usemi hakiki ndio imetumiwa. Katika utafiti huu sura ya kwanza ambayo ni utangulizi wa tasnifu inashughulikia swala la utafiti, sababu za kuchagua mada, nadharia, madhumuni, upeo wa utafiti, yaliyoandikwa kuhusu mada na mbinu za utafiti. Sura ya pili inaangazia na kueleza dhana muhimu zilizotumiwa katika utafiti. Pia inaelezea mwingiliano uliopo kati ya lugha, siasa, mamlaka na itikadi. Sura ya tatu inahusu uchanganuzi wa data ya hotuba za kisiasa na kuzichanganua kimuktadha na kimaana. Inatoa maelezo ya hotuba zilizotolewa katika kipindi cha siasa kinachozungumziwa. Sura ya nne ni uchanganuzi wa data na kueleza uwezo huo wa lugha katika hotuba za kisiasa nchini Kenya. Sura ya tano ni matokeo ya utafiti, mapendekezo ya utafiti mwingine na matatizo yaliyoukumba utafiti.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/9263
dc.language.isoenen_US
dc.subjectKenya --Politics and government --2002-2005 --Terminology
dc.subjectKiswahili language --Political aspects --Kenya
dc.subjectPolitical science --Kenya --Language
dc.subjectPoliticians --Kenya --Slang
dc.titleUwezo wa Lugha katika Matini ya Siasa Nchini Kenya Kuanzia Mwaka 2002 hadi 2005.en_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Adero, Margan Calpeters.pdf
Size:
43.04 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: