Hatua za Maendeleo Katika Tafiti Zilizofanywa Katika Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu Cha Kenyatta

dc.contributor.authorNgugi, Pamela Muhadia
dc.date.accessioned2024-02-09T07:49:41Z
dc.date.available2024-02-09T07:49:41Z
dc.date.issued2019
dc.descriptionBook Chapteren_US
dc.description.abstractMojawapo ya mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Ominde ya mwaka 1964 ilikuwa kuanzishwa kwa idara ya 1simu na lugha za Kiafrika katika Kitivo cha Sanaa katika Chuo Kikuu cha Nairobi mwaka 1969 ambapo somo la Kiswahili lingepewa kipaumbele. Baadaye, katika mwaka 1985, Chuo cha Kenyatta kiliJanywa Chuo Kikuu cha tatu ..Katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, Idara ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika ilianzishwa mwaka wa 1987, ambapo mafundisho katika taaluma ya fasihi nafasihi hutolew. Vilevile tafiti katika maeneo mbalimbali ya lugha ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika na fasihi yake hutolewa. Jdara hii huendesha programu za uzamili na uzamifu. Matokeo yake, yamedhihirika kupitia kwa tafiti mbalimbali katika lugha ya Kiswahili. Lengo la sura hii ni kueleza na kutathmini mwelekeo ambao tafiti hizi zimechukuwa tangu kutambuliwa kwa lugha hii kama somo katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.en_US
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27618
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMoi University Press, Moi University, Eldoreten_US
dc.titleHatua za Maendeleo Katika Tafiti Zilizofanywa Katika Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu Cha Kenyattaen_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Hatua za Maendeleo Katika Tafiti Zilizofanywa Katika Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu Cha Kenyatta.pdf
Size:
6.22 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text book chapter
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: