Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle Katika Tamthilia ya Kinjeketile

dc.contributor.advisor
dc.contributor.authorWafula, Richard
dc.contributor.authorNgugi, Pamela
dc.contributor.authorOkwena, Sophie
dc.date.accessioned2023-04-27T10:15:20Z
dc.date.available2023-04-27T10:15:20Z
dc.date.issued2021
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractMakala haya yanalenga kuweka wazi miundo ya Aristotle katika tamthilia ya Kinjeketile (1969). Kinjeketile ni tamthilia ya Kiswahili ambayo iliandikwa mwishoni mwa miaka ya 1960 wakati ambapo maigizo mengi yalichukua miundo ya Kimagharibi moja kwa moja. Huu ni wakati ambapo Waingereza walileta drama kwa madhumuni ya kujifurahisha wao wenyewe na kujikumbusha maisha ya kwao. Katika kufanya hivi, waliwatumia Watanzania hasa, watoto wa shule katika kuonesha tamthilia za akina Aristotle. Watanzania waliathiriwa kiasi cha kuweza kujishirikisha kikamilifu katika kutunga tamthilia na kuzionesha. Ebrahim Hussein aliandika Kinjeketile akitumia miundo ya kina Aristole, hasa tanzia ya Kigiriki ambayo hasa ndiyo msingi wa sheria za kiAristotle. Kutokana na masomo yake, Hussein aliweza kuiga miundo ya Aristotle katika utunzi wake.en_US
dc.identifier.citationWafula, R., Ngugi, P., & Okwena, S. (2021). Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle katika Tamthilia ya Kinjeketile. Mulika Journal, 39.en_US
dc.identifier.otherBaruapepe: sophiejoyedwin@gmail.com
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/25263
dc.language.isoenen_US
dc.publisherChuo Kikuu Cha Dar es salaamen_US
dc.titleUchanganuzi wa Miundo ya Aristotle Katika Tamthilia ya Kinjeketileen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle katika Tamthilia ya Kinjeketile.pdf
Size:
9.35 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: