Maudhui na mtindo katika nyimbo za msanii faustin munishi
dc.contributor.advisor | Wafula, R. M. | |
dc.contributor.advisor | Mbaabu, I. G. | |
dc.contributor.author | Rajwayi, Andrew Calleb | |
dc.date.accessioned | 2014-03-26T13:06:41Z | |
dc.date.available | 2014-03-26T13:06:41Z | |
dc.date.issued | 2014-03-26 | |
dc.description | Department of Kiswahili and African Languages, 108p. The 2009 | en_US |
dc.description.abstract | Tasnifu hii ilishughulikia nyimbo za msanii Faustin Munishi. Tulichambua maudhui na mtindo katika nyimbo zake. Kazi hii inajaribu kuonyesha jinsi maudhui ya nyimbo za Faustin Munishi yalivyobadilika kutokana na mpito wa wakati. Kazi hii pia ilijaribu kuonyesha jinsi msanii huyu alivyoimarisha uwasilishaji wa nyimbo zake kupitia uimarishaji wa lugha yake kwa kutumia tamathali mbalimbali za lugha. Tasnifu hii vilevile inajaribu kubainisha uhusiano uliopo baina ya maudhui anayozungumzia na tamathali alizotumia katika uwasilishaji wa maudhui hayo. | en_US |
dc.description.sponsorship | Kenyatta University | en_US |
dc.identifier.uri | http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/9296 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.subject | Contemporary christian music --Tanzania --History and criticism | en_US |
dc.subject | Gospel music --Tanzania | en_US |
dc.subject | Munishi, Faustin, 1960- --Songs and music | en_US |
dc.title | Maudhui na mtindo katika nyimbo za msanii faustin munishi | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |