Maudhui na mtindo katika nyimbo za msanii faustin munishi

Loading...
Thumbnail Image
Date
2014-03-26
Authors
Rajwayi, Andrew Calleb
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Tasnifu hii ilishughulikia nyimbo za msanii Faustin Munishi. Tulichambua maudhui na mtindo katika nyimbo zake. Kazi hii inajaribu kuonyesha jinsi maudhui ya nyimbo za Faustin Munishi yalivyobadilika kutokana na mpito wa wakati. Kazi hii pia ilijaribu kuonyesha jinsi msanii huyu alivyoimarisha uwasilishaji wa nyimbo zake kupitia uimarishaji wa lugha yake kwa kutumia tamathali mbalimbali za lugha. Tasnifu hii vilevile inajaribu kubainisha uhusiano uliopo baina ya maudhui anayozungumzia na tamathali alizotumia katika uwasilishaji wa maudhui hayo.
Description
Department of Kiswahili and African Languages, 108p. The 2009
Keywords
Contemporary christian music --Tanzania --History and criticism, Gospel music --Tanzania, Munishi, Faustin, 1960- --Songs and music
Citation