Matumizi ya sitiari katika vitendawili vya abanyala (k): mtazamo unganishi na vitendawiu vya waswahili
Loading...
Date
2007
Authors
Meble, Barasa
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
The purpose of the study is to investigate the use of metaphor in the Abanyala and Swahili
riddle. The researcher was inspired by the fact that even though the writers and researchers of
riddles did a lot in collecting, classifying and giving functions of riddles, the aspect of the use of
metaphor in riddles was overlooked. More so in the specified communities. Most riddles are in
fact metaphors for this reason the researcher looked into the use of the metaphor in the Abanyala
and Swahili riddle. The researcher based on the principles laid out in the Semiotic Theory which
was found by Ferd inand de Saussure in the year 1906. The theory was later developed by
Charles Pierce and Roland Barthes who had a different view from Ferdinand de Saussure. Pierce
and Barthes associated sign and meaning in relation to the context. Pierce believed that sign as
an object, can be classified as an icon, an index, or a symbol. Barthes is associated with the code
which he believes that it can be used in analyzing literature, he further divided the code as
follows: proairetic, hermeneutic, semic, symbolic and referential codes. These principles were
used in establishing types of metaphors in the Abanyala and Swahili riddles. The importance of
metaphors in the Abanyala and Swahili riddles. The principles also guided the researcher in
finding out why the Abanyala and Swahili use riddles. The research started from the library in
which information pertaining riddles and metaphors were found. Thereafter the researcher went
Into the field for data collection. Purposive sampling was used during data collection whereby
!lve .standard six pupils in five primary schools, five old men and five old women were sampled
f t i- basihg on their knowledge and experience in the targeted community. Questionnaire, discussion
and observation methods were used during data collection. The research report is divided into
five chapters. Chapter one deals with introductory issues. Chapter two deals with types of
metaphors used in Abanyala and Swahili riddles. Chapter three metaphors and their uses,
chapter four why the Abanyala and Swahili use riddles. Chapter five conclusions research
findings and recommendations. The findings of the study will benefit the society as a whole.
Kazi ya kuushughulikia utafiti huu ilikuwa ngumu na iliyohitaji subira kubwa. Kazi hii isingefanyika bila ya kuwako kwa msaada wa watu wengine. Msaada huo ulikuwa wa kila aina, kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na uwezo wa kushughulikia yote yaliyohitajika kwenye utafiti huu. Pili nampongeza mamangu Grace Barasa kwa kunishajiisha kila mara kukamilisha shughuli hii. Mamajitihada zako hazikuambulia patupu. Sitawasahau wasimamizi wangu Dkt. Edwin Masinde aliyenielekeza ipasavyo mambo yalipokaribia kwenda upogo, bila kumsahau Dkt. Pamela Ngugi aliyekuwa tayari kunisikiliza na kunipa mwelekeo nilipokaribia kuugonga mwamba. Shukrani zangu pia ziwaendee wahadhiri wote wa Idara ya Kiswahili kwa mwongozo walionipa wakati wa kulitetea pendekezo langu la utafiti. Wanafunzi wenzangu ambao tulikuwa nao pia wanastahili shukrani za kipekee. Tulisaidiana kupandahadi ngazi za juu. Mlinisaidia kwa kunipa moyo wakati nilizidiwa na kazi. Hawa ni pamoja na Regina, Birir, Helena, Elizabeth, Sophie na wengine ambao sijawataja hapa. Mme wangu Evans Omwando pamoja na wanangu Eugene, Daisy na Faith, nawatolea shukrani zangu za dhati kwa msaada mlionipa wakati huo mgumu.

Description
Shahada ya Azamili , Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiasili.2007=
Master of arts, Department of Kiswahili and African Languages ,2007