Mtindo wa nyimbo za watoto wa shule za chekechea

dc.contributor.authorMwanza, Pius M.
dc.date.accessioned2015-02-10T09:01:41Z
dc.date.available2015-02-10T09:01:41Z
dc.date.issued2015-02-10
dc.descriptionMasters in Education-Department of Kiswahili and African Languages,118p. 2007.en_US
dc.description.abstractTasnifu hii inajadili swala la mtindo wa nyimbo za watoto wa shuJe za chekechea. Nyirnbo kumi na tano za lugha ya Kikamba, pamoja na za KiswahiJi, ziliteuliwa kutoka shule tano za chekechea. Nadharia iliyotumika ni ya uhakiki wa kimtindo ambayo imehusishwa kwa kiasi kikubwa na Coombes H. Mihimili ya nadharia hiyo ilitumika kama dira ya kuuongoza utafiti huu katika kuyafikia malengo yake. Malengo ya utafiti huu yalikuwa ni pamoja na kuvitambua vipengele vya mtindo vilivyotumika katika nyimbo za watoto wa shule za chekechea na kuonyesha jmsi vilivyochangia katika uwasilishaji wa maudhui. Data iliyotumika katika utafiti huu ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani tulipitia vitabu, magazeti, majarida na tasnifu yaliyosaidia kuupa msingi utafiti huu, kinadharia na kimpangilio wa data. Nyanjani tulitumia mbinu ya mahojiano. Data iJiyopatikana, ambayo ilikuwa ni pamoja na nyimbo, ilichanganuliwa kwa kusikilizwa, kunukuliwa na kufasiriwa. Vifaa tulivyotumia katika ukusanyaji data vilikuwa ni pamoja na kinasa sauti, hojaji, karatasi na kalamu. Tulitoa matokeo kupitia njia ya maelezo. Jedwali pia ilitumika kuongezea nguvu maelezo. Matokeo ya uchanganuzi wa data yalidhihirisha kwamba nyimbo .hizi zaweza kutumiwa kufunzia lugha na maudhui kama ilivyo katika tanzu zingine za kifasihi. Mwisho, mapendekezo ya utafiti yalitolewa.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/12186
dc.language.isoenen_US
dc.titleMtindo wa nyimbo za watoto wa shule za chekecheaen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mtindo wa nyimbo za watoto wa shule za chekechea.pdf
Size:
60.22 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Thesis full text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: