Uhusika katika Vichwa vya Habari za Siasa

dc.contributor.authorMutuku, Fidelis Kioko
dc.contributor.authorOnyango, Jacktone
dc.contributor.authorMwita, Leonard Chacha
dc.date.accessioned2024-04-04T08:06:48Z
dc.date.available2024-04-04T08:06:48Z
dc.date.issued2021
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractUhusika ni dhana ya kisarufi ambayo hutumiwa kuonyesha dhima ya maneno katika tungo. Dhana hii ni muhimu katika uchambuzi wa tungo kwani hunuia kuwasilisha ujumbe wa kisemantiki uliogubikwa katika muundo wa ndani. Makala hii inadhihirisha dhana mbalimbali za uhusika na jinsi zinavyojitokeza katika vichwa vya habari za siasa zilizoko kwenye magazeti teule ya Taifa Leo. Nadharia ya uhusika iliyoasisiwa na Charles Fillmore mnamo mwaka wa 1968 imeongoza uchunguzi huu. Utafiti huu umefanywa baada ya kubaini kuwa wasomaji mbalimbali wa gazeti hufasiri maana anuwai kwenye kichwa kimoja cha habari za siasa. Jambo hili husababisha utata wa kimaana na uenezaji wa jumbe zisizo thabiti katika jamii, hivyo basi, kuzalisha migogoro ya kisiasa nchini. Upekuzi wa yaliyomo kwenye matoleo ya gazeti la Taifa Leo ambayo yametawaliwa na vichwa vya habari za siasa na kuchapishwa kati ya mwaka 2017-2019 ni msingi wa data ya utafiti huu. Vichwa vya habari za kisiasa kumi na nane vilisampulishwa kimakusudi na kutumika katika uchambuzi wa uchunguzi huu. Data katika makala hii imewasilishwa kupitia mfumo wa majedwali na maelezo. Matokeo ya utafiti huu yameshikilia kwamba, mahusiano kati ya kitenzi na nomino au kiwakilishi chake katika sentensi hubainisha aina ya uhusika. Uchunguzi huu una umuhimu kwa wasomi wa magazeti na taifa kijumla. Wasomaji wa magazeti wameongozwa na kigezo cha dhima ya maneno katika tungo ili kudondoa maana sahihi katika vichwa lengwa vya habari za kisiasa na kupitisha fasiri hiyo moja kwa wanajamii.en_US
dc.identifier.citationMutuku, F. K., Onyango, J., & Mwita, L. C. (2021). Uhusika katika Vichwa vya Habari za Siasa. East African Journal of Swahili Studies, 4(1), 58-67. https://doi.org/10.37284/eajss.4.1.494en_US
dc.identifier.otherDOI: https://doi.org/10.37284/2707-3475
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27793
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEAST AFRICAN NATURE & SCIENCE ORGANIZATIONen_US
dc.subjectUhusikaen_US
dc.subjectUhusika Kiimaen_US
dc.subjectUhusika Mahalien_US
dc.subjectUhusika Yambwaen_US
dc.subjectUhusika Tendeaen_US
dc.subjectUhusika Tokeoen_US
dc.subjectUhusika Alaen_US
dc.subjectMuundo Ndanien_US
dc.subjectMuundo Njeen_US
dc.titleUhusika katika Vichwa vya Habari za Siasaen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Uhusika katika Vichwa vya Habari za Siasa.pdf
Size:
398.8 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: