Athari za Sera ya Lugha Afrika Mashariki na Nafasi ya Kiswahili Afrika na Ulimwenguni

dc.contributor.authorOsore, Miriam
dc.contributor.authorMinyade, Sheril
dc.date.accessioned2024-02-19T09:30:24Z
dc.date.available2024-02-19T09:30:24Z
dc.date.issued2024
dc.descriptionBook Chapteren_US
dc.description.abstractSera ya lugha ni kipengele cha mpango lugha. Haya ni maamuzi katika maandishi kuhusu jinsi lugha zinavyopaswa kutumika katika jamii ili kutekeleza majukumu mbalimbali. Maamuzi haya yanaweza kutolewa katika katiba ya nchi husika. Sera ya lugha Afrika Mashariki imepitia mabadiliko kuanzia enzi za ukoloni hadi sasa. Hata kabla ya ukoloni, Kiswahili kilikuwa tayari kinatumika kama lugha ya mawasiliano mapana katika biashara kati ya Waarabu na Waafrika. Wamishonari waliofika eneo la Afrika Mashariki walikuta Kiswahili kimeenea wakakitumia kueneza dini. Hatua za mwanzo za usanifishaji wa Kiswahili zilichukuliwa na wamishonari walioona haja ya kusanifisha Kiswahili ili kukitumia kwa mafanikio zaidi ya kueneza injili. Kiunguja kiliteuliwa kama msingi wa kusanifisha Kiswahili. Kiswahili sanifu ndicho kilitumiwa katika .maandishi. Wakoloni walipofika katika eneo la Afrika Mashariki pia walianza kukitumia Kiswahili katika shughuli za utawala na elimu. Kila nchi ilikuwa na sera tofauti za lugha: Uganda, chini ya Waingereza haikukipa Kiswahili nafasi ya kuenea. Waingereza waliotawala Kenya walisisitiza matumizi ya Kiingereza na lugha ya kwanza. Tanzania ilitawaliwa na Wajerumani na Waingereza. Kiswahili kilipewa kipaumbele; kilitumika katika shughuli zote za elimu na utawala fakala hii inalenga kubainisha jinsi sera tofauti za lugha katika nchi hiziwakati wa ukoloni na baada ya ukoloni zimeathiri kuenea kwa Kiswahili Afrika na ulimwenguni.en_US
dc.identifier.isbn978-9914-50-383-8
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27649
dc.language.isootheren_US
dc.publisherRealText Printers and Publishersen_US
dc.subjectSeraen_US
dc.subjectMpango wa lughaen_US
dc.subjectMaendeleo ya Kiswahilien_US
dc.titleAthari za Sera ya Lugha Afrika Mashariki na Nafasi ya Kiswahili Afrika na Ulimwengunien_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Athari za Sera ya Lugha Afrika Mashariki na Nafasi ya Kiswahili Afrika na Ulimwenguni.pdf
Size:
12.71 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text book chapter
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: