Mabadiliko ya maudhuikiwakati katika nyimbo za harusi za jamii ya waembu

dc.contributor.advisorKing'ei, Kitula Osore, Miriam
dc.contributor.authorMbogo, Njeru S.
dc.date.accessioned2016-07-18T11:36:54Z
dc.date.available2016-07-18T11:36:54Z
dc.date.issued2009
dc.descriptionTasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Kenyatta, 2008en_US
dc.description.abstractMalengo ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha j insi maudhui katika nyimbo za harusi miongoni mwa watu wajamii ya Waembu yalivyobadilika kiwakati tangu kabla na baada ya maingilio ya Wakoloni. Aidha, utafiti huu umechunguza na kueleza matukio ya kijamii yaliyochangia mabadiliko haya. Bali na hayo, utafiti huu umelenga kueleza mabadiliko haya ya maudhui kinadharia. Kwa kuzingatia nadharia ya uhalisia iliyoasisiwa kwa pamoja na Gustav Flaubert (1850), Rene Wellek na wengine kati ya kame ya 19 na 20, ilibainika kwamba maudhui katika nyimbo kama utanzu wa fasihi simulizi hubadilika kusadifu matukio ya kihistoria ya kipindi fulani katika jamii. Kipindi cha kabla ya maingilio ya wakoloni katikajamii ya Waembu kilikuwa na nyimbo anuwai za harusi zilizobeba maudhui mahususi. Baada ya maingilio ya wakoloni, maudhui katika nyimbo hizi yalibadilika kwa kiasi kikubwa ingawa kuna machache yaliyoendelea. Kwa sababu ya mabadiliko hayo, kumezuka mitazamo miwili ya kuangalia maudhui katika nyimbo za harusi za j amii ya Waembu ambayo ni maudhui ya nyimbo za kabla ya maingilio ya wakoloni na ya zile za baada ya maingilio hayo. Utafiti huu umeonyesha jinsi maudhui katika nyimbo za harusi zajamii ya Waembu yalivyobadilika kutoka kipindi kimoja hadi kingine.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/14835
dc.language.isoenen_US
dc.titleMabadiliko ya maudhuikiwakati katika nyimbo za harusi za jamii ya waembuen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mabadiliko ya maudhuikiwakati katika nyimbo za harusi za jamii ya waembu.pdf
Size:
48.97 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Thesis full text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: