Mitaala ya Kiswahili Katlka Elimu na Utaifa: Nafasi ya Fasihi ya Watoto Katika Uendelezaji na Ulmarishaji wa Mshlkamano wa Kltaifa
dc.contributor.author | Ngugi, Pamela M.Y. | |
dc.date.accessioned | 2024-02-09T08:13:11Z | |
dc.date.available | 2024-02-09T08:13:11Z | |
dc.date.issued | 2023 | |
dc.description | Book Chapter | en_US |
dc.description.abstract | Lengo mojawapo la elimu katika nchi ya Kenya ni kukuza utaifa, uzalendo na kuendeleza umoja wa taifa. Hivyo basi, elimu inayotolewa inahitaji kuziheshimu tamaduni mbalimbali zilizopo nchini na wakati uo huo, kuhakikisha kuwa haiendelezi ubaguzi katika jamii kwa misingi ya rangi, ukabila na dini. Ili kutekeleza lengo hili na malengo mengine, wasomi wengi wanaamini kuwa ufundishaji wa fasihi kwa jumla na hasa fasihi ya watoto unaweza kuchangia katika kuyafikia malengo . haya kwa kukuza hisia za kitaifa miongoni mwa wanafunzi. Ujenzi wa taifa ni juhudi za makusudi na za kujitolea. Tangu uhuru, wananchi wamekuwa wakitafuta njia za kuleta utangamano baina ya makabila na nchi mbalimbali za Afrika. Hatua mojawapo katika ujenzi wa taifa ni Uimarishaji wa utamaduni wa tamaduni mbalimbali. Utamaduni wowote ule utaeleweka vyema kwa kuchunguza mila na desturi zilipo katika jamii husika, pamoja na kufahamu namna kila jamii ilivyowasilisha amali zake mbalimbali kama vile, ukarimu, kujitolea, haki na maslahi ya pamoja, mambo ambayo yalichangia katika kuunda utaifa. Ufahamu wa amali hizi waweza kupatikana kupitia fasihi za jamii hizi. Fasihi ni matokeo ya shughuli za jamii; huibuka, hukua na kusambaa kutokana na mazingira yaliyopo katika jamii. Lengo la makala hii ni kubainisha nafasi ya fasihi ya watoto kama chombo cha kujenga mshikamano wa kitaifa sawia na mshikamano wa eneo la Afrika Mashariki na Bara la Afrika kwa ujumla. | en_US |
dc.identifier.isbn | 978-9966-128-13-3 | |
dc.identifier.uri | https://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27622 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Twaweza Communications | en_US |
dc.title | Mitaala ya Kiswahili Katlka Elimu na Utaifa: Nafasi ya Fasihi ya Watoto Katika Uendelezaji na Ulmarishaji wa Mshlkamano wa Kltaifa | en_US |
dc.type | Book chapter | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Mitaala ya Klswahili Katika Elimu na Utaifa Nafasi ya Fasihi ya Watoto Katlka Uendelezaji na Ulmarishaji wa Mshlkamano wa Kltaifa.pdf
- Size:
- 7.27 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
- Full text book chapter
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: