Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed
Loading...
Date
2013
Authors
Wafula, Richard Makhanu
King’ei, Geofrey Kitula
Murithi, Joseph Jesse
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Makala hii inanuia kuonesha kuwa itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu kulingana na
maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia. Itikadi ndiyo huelekeza misimamo,
mielekeo na imani ya mtunzi na hivyo kuathiri mtazamo wa mwandishi kuhusu ulimwengu
unaomzunguka, ambao huweza kubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya kijamii. Katika
mkabala huo makala hii inalenga kutathmini itikadi ya mtunzi katika riwaya za Dunia Yao
(2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed. Kwa kutumia riwaya hizo, makala hii
inatarajia kuthibitisha kwamba, itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu na hutangamana na jinsi
mtunzi anavyobadilisha mikakati yake ili kukidhi mahitaji ya jamii lengwa kiwakati.
Description
Article
Keywords
Citation
Murithi, J. J., Wafula, R. M., & King’ei, G. K. (2019). Itikadi katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu.