Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed

dc.contributor.authorWafula, Richard Makhanu
dc.contributor.authorKing’ei, Geofrey Kitula
dc.contributor.authorMurithi, Joseph Jesse
dc.date.accessioned2023-07-18T08:01:07Z
dc.date.available2023-07-18T08:01:07Z
dc.date.issued2013
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractMakala hii inanuia kuonesha kuwa itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu kulingana na maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia. Itikadi ndiyo huelekeza misimamo, mielekeo na imani ya mtunzi na hivyo kuathiri mtazamo wa mwandishi kuhusu ulimwengu unaomzunguka, ambao huweza kubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya kijamii. Katika mkabala huo makala hii inalenga kutathmini itikadi ya mtunzi katika riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed. Kwa kutumia riwaya hizo, makala hii inatarajia kuthibitisha kwamba, itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu na hutangamana na jinsi mtunzi anavyobadilisha mikakati yake ili kukidhi mahitaji ya jamii lengwa kiwakati.en_US
dc.identifier.citationMurithi, J. J., Wafula, R. M., & King’ei, G. K. (2019). Itikadi katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu.en_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/26283
dc.language.isootheren_US
dc.titleItikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohameden_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Itikadi katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed.pdf
Size:
119.51 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: