Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire

Loading...
Thumbnail Image
Date
2021
Authors
Wafula, Richard Makhanu
Mue, Elizabeth Kasau
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Qucosa
Abstract
Makala hii inachanganua wahusika na dhana kuu zinazosawiriwa katika riwaya ya Kiza Katika Nuru (1988) ya Said Ahmed Mohamed kwa kuzingatia mihimili ya mojawapo ya mikabala ya Umarxi Mpya, mkabala wa mwanafalsafa na mwananadharia kutoka Marekani ya Kilatini, Paulo Freire. Kiini cha mkabala huu wa Umarxi Mpya ni kukosoa na kutupilia mbali mitazamo kuhusu elimu inayomnyima mwanafunzi fursa ya kujifunza kutokana na mazingira yake. Uchambuzi huu unabainisha jinsi Umarxi Mpya wa Kifreire unavyofaa kwa kuchambua riwaya ya Kiza Katika Nuru, na riwaya nyingine za Kiswahili zinazofanana nayo.
Description
Article
Keywords
Citation
Wafula, R. M., & Mue, E. K. (2021). Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire.