Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire

dc.contributor.authorWafula, Richard Makhanu
dc.contributor.authorMue, Elizabeth Kasau
dc.date.accessioned2023-07-12T13:22:04Z
dc.date.available2023-07-12T13:22:04Z
dc.date.issued2021
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractMakala hii inachanganua wahusika na dhana kuu zinazosawiriwa katika riwaya ya Kiza Katika Nuru (1988) ya Said Ahmed Mohamed kwa kuzingatia mihimili ya mojawapo ya mikabala ya Umarxi Mpya, mkabala wa mwanafalsafa na mwananadharia kutoka Marekani ya Kilatini, Paulo Freire. Kiini cha mkabala huu wa Umarxi Mpya ni kukosoa na kutupilia mbali mitazamo kuhusu elimu inayomnyima mwanafunzi fursa ya kujifunza kutokana na mazingira yake. Uchambuzi huu unabainisha jinsi Umarxi Mpya wa Kifreire unavyofaa kwa kuchambua riwaya ya Kiza Katika Nuru, na riwaya nyingine za Kiswahili zinazofanana nayo.en_US
dc.identifier.citationWafula, R. M., & Mue, E. K. (2021). Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire.en_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/26184
dc.language.isootheren_US
dc.publisherQucosaen_US
dc.titleUchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreireen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire.pdf
Size:
184.46 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: