RP-Department of Kiswahili and African Languages
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing RP-Department of Kiswahili and African Languages by Author "King’ei, Geofrey Kitula"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed(2013) Wafula, Richard Makhanu; King’ei, Geofrey Kitula; Murithi, Joseph JesseMakala hii inanuia kuonesha kuwa itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu kulingana na maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia. Itikadi ndiyo huelekeza misimamo, mielekeo na imani ya mtunzi na hivyo kuathiri mtazamo wa mwandishi kuhusu ulimwengu unaomzunguka, ambao huweza kubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya kijamii. Katika mkabala huo makala hii inalenga kutathmini itikadi ya mtunzi katika riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed. Kwa kutumia riwaya hizo, makala hii inatarajia kuthibitisha kwamba, itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu na hutangamana na jinsi mtunzi anavyobadilisha mikakati yake ili kukidhi mahitaji ya jamii lengwa kiwakati.