CW-Department of Kiswahili and African Languages
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing CW-Department of Kiswahili and African Languages by Author "Wafula, R. M."
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Itikadi na Ufundishaji wa Nadharia za Uhakiki wa fasihi(2015) Wafula, R. M.UFUNDISHAJIwa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1946) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika kame ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala haya yananuia kuonyesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria mchomozo wa itikadi zinazoratibisha kuwepo kwa nadharia hizo . Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia maswala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.Item Nadharia kama Mwongozo wa Utunzi na Uhakiki katika Fasihi(University of Nairobi - Department of Linguistics & African Languages, 1992) Wafula, R. M.