Umatini katika vichekesho vya "Redykyulass"

dc.contributor.authorNeyole, Nafula Eunice
dc.date.accessioned2012-04-03T08:40:19Z
dc.date.available2012-04-03T08:40:19Z
dc.date.issued2012-04-03
dc.descriptionDepartment of Kiswahili and African Languages, 158p. 2003en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unachanganua usemi katika maigizo ya Kiswahili ya kikundi kinachoitwa "Redykyulass". Lengo la uchanganuzi huu ni kubainisha ikiwa maigizo ya "Redykyulass" yanakubalika kama matini kwa mujibu wa nadharia ya umatini. Mtazamo wa Beaugrande na Dressler (1981) ndio unaotumiwa kutathmini umatini wa "Redykyulass". Vigezo vya: mshikamano, muwala, muktadha, kusudio, ukubalifu, ufahamishaji na mwingiliano wa matini vinatumiwa. Aidha, utafiti huu unanuia kubainisha namna vigezo hivi vinavyodhihirika katika matini. Sura ya kwanza ambayo ni utangulizi wa tasnifu inashungulikia swala la utafiti, sababu za kuchagua mada, madhumuni ya utafiti, upeo wa utafiti, yaliyoandikwa katika utafiti. Sura ya pili, tatu na nne zinachanganua data kwa kutumia vigezo vya umatini vilivyopendekezwa na Beaugrande na Dressler (1981). Sura ya tano ni muhtasari wa matokeo ya utafiti kwa ujumla. Mapendekezo ya utafiti mwingine unaoweza katika uwanja huu pia yameonyeshwa katika sura hii.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/3686
dc.language.isoenen_US
dc.subjectTheater--public relationsen_US
dc.titleUmatini katika vichekesho vya "Redykyulass"en_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Umatini katika vichekesho.....pdf
Size:
72.41 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: