Uchanganuzi wa nomino ambatani za kiswahili: mtazamo wa mofolojia leksia
dc.contributor.author | Gichuru, Mutwiri Tirus | |
dc.date.accessioned | 2011-07-28T11:26:30Z | |
dc.date.available | 2011-07-28T11:26:30Z | |
dc.date.issued | 2011-07-28 | |
dc.description | Abstract | en_US |
dc.description.abstract | utafiti huu umechanganua nomino ambatani za Kiswahili kwa madhumuni ya kuainisha Ill kubainisha taratibu pamoja na kanuni zinazollusika katika uundaji wa maumbo hayo. Aidha umeangaza namna vijenzi vya lllallello hayo vinahusiana kati yao, na namna nominounde hushiriki katika taratibu za uambishaji kisarufi. Iii kufanikisha kazi i hii, mihimili sita ya nadharia ya Mololojia I.eksia iliongoza utafiti lulu. yaani kanuni ngazi leksia, kanuni ya mzunguko kamili, kanuni ya kuf iata mabano, kanum y i nfinyu wa sifa, kanuni ya kwingineko na kanuni ya kuhifadhi muundo. Mbinu la utafiti zilihusu usampulishaji, ukusanyaji, uchanganuzi na uwasilishaji wa data. Data ya utafiti huu iliteuliwa kutoka tnatini laid, yaani Mohamed, S. (2010) Nyuso za mwanamke. Longhorn publishers, Nlassamba, D. (2004) Kamusi ya isimu na Falsafa ya lugha. na TUKI (2004) Kainusi Sanifu ya Kiswahili (Toleo jipya). Sura ya kwanza, imeeleza kiini cha utafiti na utaratibu ulizingatiwa katika kufanikisha utafiti na utaratibu uliozingatiwa katika kufanikisha utafiti hiuu. Sura ya pili, imeshughulikia vijenzi mbalimbali vya kujenga maneno na taratibu na kanuni za kuunganisha vijenzi hivyo kupitia mbinu mbalimbali za kuunda maneno, hasa nomino .Maneno yaliyoundwa kwa kutumia mbiwi hizo ndiyo hatimaye huwa vijenzi vitumiwavyo kuundia maneno mengine mapya kabisa kupitia mbinu ya mwambatano. Sura ya tatu, imeshughulikia mofolojia ya uundaji ya nonlino hizo kwa kuanisha kueleza kanuni na taratibu zinazollusika kuyaunda na kueleza uhusiano lllli1LljItokeza baina ya vijenzi. Sura ya nne, imeshughulikia namna nonlino ambatalli zliklvyoshirllcl katika uambisliaJi kisarufi baacla ya kuundwa sura ya tano, imetoa muhtasari wa matokeo ya utafiti huu na kupendekeza mawanda yanayohitaji utafiti zaidi. Matokeo ya utafiti yameonyesha kuwa mwambatano ni utaratibu unaotawaliwa na kanuni maalumu. Ni matumaini yetu kuwa matokeo haya yatawafaidi wanaisimu katika kuelewa na kueleza mbinu ya inwambatano katika lugha ya Kiswahili hasa wanaisimu linganishi hasa wanaotafiti kuhusu uundaji wa maneno katika lugha za Kibantu. Aidha, uchanganuzi wa data unatarajiwa kuwafaidi waundakamusi za kiswahill katika mchakato wa kuunda na kuteua viclahizo vya maneno ambatani na kuchochea utafiti zaidi. | en_US |
dc.description.sponsorship | Kenyatta University | en_US |
dc.identifier.uri | http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/523 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.title | Uchanganuzi wa nomino ambatani za kiswahili: mtazamo wa mofolojia leksia | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Uchanganuzi wa nomino ambatani za Kiswahili mtazamo wa mofolojia leksia.pdf
- Size:
- 60.92 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
- Full Text Thesis
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: