Itikadi na Ufundishaji wa Nadharia za Uhakiki wa fasihi

dc.contributor.authorWafula, R. M.
dc.date.accessioned2015-08-13T07:43:59Z
dc.date.available2015-08-13T07:43:59Z
dc.date.issued2015
dc.descriptionConference Precentationen_US
dc.description.abstractUFUNDISHAJIwa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1946) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika kame ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala haya yananuia kuonyesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria mchomozo wa itikadi zinazoratibisha kuwepo kwa nadharia hizo . Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia maswala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.en_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/13417
dc.language.isootheren_US
dc.subjectNadhariaen_US
dc.subjectUhakikien_US
dc.subjectItikadien_US
dc.titleItikadi na Ufundishaji wa Nadharia za Uhakiki wa fasihien_US
dc.typePresentationen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Itikadi na Ufundishaji wa Nadharia....pdf
Size:
7.73 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: