Tathmini ya mpango wa kisintaksia wa ngeli za nomino za Kiswahili: ufunzaji shule za Nairobi

dc.contributor.authorOkumu, Nelly Beatrice
dc.date.accessioned2011-12-15T12:13:48Z
dc.date.available2011-12-15T12:13:48Z
dc.date.issued2011-12-15
dc.descriptionThe PL 8702.O38en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia tathmini ya mpangilio wa kisintaksia wa ngeli za nomino za Kiswahili. Utafiti huu ulilenga kuonyesha matatizo yaliyopo katika mipangilio ya zamani ya kufunzia ngeli, kueleza mpangilio wa kisintaksia na kuchunguza iwapo mpangilio huu umeweza kutatua matatizo yanayojitokeza katika mipangilio ya kimofolojia na kisemantiki. Mada hii ilichaguliwa kwa sababu ya mabadiliko ya mitalaa ya mitalaa ya kufunza mada ya ngeli katika shule nchini Kenya. Mabadiliko haya yalitokea kwa sababu ya utata ambao ulikuwepo katika mipangilio ya wali ya ngeli. Hivyo utafiti huu ulinuia kudhibitisha iwapo utata na matatizo yaliyodaiwa kuwepo katika mipangilio ya kimofolojia na kisemantiki yameondolewa na mpangilio huu wa kisintaksia. Aidha, imeziba pengo la kuonyesha kama bado kuna matatizo yanayokumba somo la ngeli shuleni. Kadhalika, kulikuwa na haja ya kuchunguza chanzo cha matatizo ya wanafunzi katika sarufi hasa maendelezo ya sentensi sahihi. Ili kufanikisha malengo ya utafiti, insha na sentensi walizotunga wanafunzi kutoka katika baadhi ya shule za Nairobi, zimehakikiwa ili kuona utenda kazi wa mpangilio wa sintaksia. Maoni ya walimu kupitia hojaji yaliweza kuonyesha mpangilio wanaopendelea zaidi na matatizo yanayowakumba katika ufunzaji wa ngeli. Matokeo ya kazi za wanafunzi zimeonyesha kuwa wanafunzi bado wana matatizo katika kuendeleza sentensi sahihi kisarufi kutokana na kukanganywa kwao na mambo kama vile vitambulishi vya ngeli na kutoelewa maana ya nominoen_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/2004
dc.language.isoenen_US
dc.subjectSwahili Language--Grammar//Plural(grammar)//Swahili language--Number//Swahili language-Study and teachingen_US
dc.titleTathmini ya mpango wa kisintaksia wa ngeli za nomino za Kiswahili: ufunzaji shule za Nairobien_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Tathmini ya mpangilio wa kisintaksia wa ngeli za nomina za kiswahili ufunzafl katika shule za Nairobi..pdf
Size:
55.14 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Text Thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: