Uchambuzi wa matini: matumizi ya lugha katika sajili ya matatu

dc.contributor.authorKihara, David Kung'u
dc.date.accessioned2011-12-08T08:06:53Z
dc.date.available2011-12-08T08:06:53Z
dc.date.issued2011-12-08
dc.descriptionThe PL 8702 .K54en_US
dc.description.abstractKatika tasnifu hii, tumechambua matini ili kubaini matumizi ya lugha katika sajili ya matatu kwa ujumla. Tumechanganua data kutoka vituo vikuu vya magari ya matatu na njiani abiria waliposafirishwa. Utafiti huu ulikuwa na malengo manne ambayo ulitekeleza. Kulikuwa na kuchanganua sifa zinazobainisha sajili ya matatu, kuchanganua aina za maana zinazowasilishwa na matini zinazotumika, kubainisha athara za maana na ujumbe, na kuchunguza msimbo wa maana. Kwa kutekeleza haya, nadharia ya isimu amilifu na hasa mtazamo bayana wa Isimu Amilifu Mfumo ulitumika. Sarufi Amilifu Mfumo (SAM) inajivunia uyakinifu wa kiisimu. Pamoja na uyakinifu wa kiisimu SAM inadai uhalisia wa Kipragmatiki sawia Kisaikolojia. Uwiano wa mambo haya ni msingi wa dhana ya udokezi maana. Utafiti huu umehusisha mbinu mbili kuu za utafiti wa maktabani na ule wa nyanjani. Uchanganuzi wa data ulihusisha uanishaji wa makundi ya msimbo, sifa bainifu na athara za matumizi ya lugha katika sajili ya natatu. Matokeo ya utafiti yamejumuishwa katika sura tatu. Utafiti umeonyesha kuwa sajili ya matatu ina msimbo wake. Imedhihirika pia ya kwamba sajili hii hubainishwa kwa sifa za aina mbalimbali, sifa wazi zaidi zikihusu umbo, muundo na matumizi ya lugha. Aidha, utafiti umedhihirisha kuwa matumizi ya lugha katika sajili ya matatu huwa na athari mbalimbali zinazowaathiri wahudumu na abiria kimawazo na kihisia.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/1933
dc.language.isoenen_US
dc.subjectSwahili language//Transportation--Kenya--Nairobien_US
dc.titleUchambuzi wa matini: matumizi ya lugha katika sajili ya matatuen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Uchambuzi wa matini Matumizi ya lugha katika sajili ya matatu.pdf
Size:
49.85 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Text Thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: