Magazeti kama Kichocheo cha Kuendeleza Fasihi ya Watoto na Vijana: Mfano kutoka Daily Nation Na TaifaLeo

Loading...
Thumbnail Image
Date
2019
Authors
Ngugi, Pamela M.Y.
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Twaweza Communications
Abstract
Matumizi ya magezeti kama chombo cha kufunzia darasani ni jambo ambalo limepokelewa na wasomi wengi. Magazeti yanaweza kuiumika kama njia moja ya kujaliza na kutimiliza masomo mbalimbali ikiwemo fasihi ya watoto. Lengo la makala hii ni kubainisha mchango wa magazeii katika kuendeleza fasihi ya watoto na vijana. Mchango huu uiabainika kua kuchambua vitanzu mbalimbali vinavyojumuishwa kaiika magazeti haya na namna vinavyochangia kaiika. kuendeleza fasihi ya watoto.
Description
Book Chapter
Keywords
Citation