Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Somo la Imla katika Shule za Upili Nchini Kenya” in MULIKA:

dc.contributor.authorKurema, L.
dc.contributor.authorOsore, M
dc.contributor.authorChacha, L
dc.date.accessioned2023-11-23T09:10:43Z
dc.date.available2023-11-23T09:10:43Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractMakala haya yanalenga kutoa tathmini ya uwasilishaji na upokezi wa somo la imla katika shule za upili nchini Kenya. Somo la imla limeratibiwa kwenye mtaala na Iinapaswa kufundishwa kuanzia shule za msingi hadi za upili (KIE, 2005). Somo hili ni mojawapo ya masomo katika stadi ya kuandika. Ufundishaji wa somo la imla unapaswa kuimarisha vipengele vya stadi ya kuandika lakini kwa mujibu wa utafiti wa awali uliofanywa suala hili Iinasailika. Wanafunzi katika shule za upili bado wanafanya makosa mengi ya tahajia, uakifishaji, msamiati, matamshi na sarufi ambayo yanapaswa kupunguzwa au kuondolewa kabisa na masomo katika stadi ya kuandika hasa somo la imla. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa ufundishaji wa somo la imla unaathiri stadi ya kuandika na matumizi ya lugha kwa jumla. Hata hivyo, somo la imla linaonekana kuwa na nafasi kubwa katika kuimarisha stadi ya kuandika na kuzungumza ikiwa litafundishwa ipasavyo. Kwa hivyo, makala haya yanatalii somo la imla kwa undani kwa lengo la kubainisha umuhimu, uwasilishaji na upokezi wake na kutathmini ikiwa kuna udhaifu unaofanya rnalengo ya somo hili yasiafikiwe katika kazi za wanafunzi wa shule za upili nchini Kenya. Makala haya pia yanatoa mapendekezo ya namna ya kuimarisha uwasilishaji na upokezi wa somo la imla nchini Kenya.en_US
dc.identifier.citationKurema, L., Osore, M. and Chacha, L. (2020): ‘Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Somo la Imla katika Shule za Upili Nchini Kenya” in MULIKA: Vol 39 Hans. MM & Kadala R.T. (eds), Journal of the Institute of Kiswahili Research, Dar es Salaam, pp. 112, University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27195
dc.language.isootheren_US
dc.publisherournal of the Institute of Kiswahili Researchen_US
dc.titleTathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Somo la Imla katika Shule za Upili Nchini Kenya” in MULIKA:en_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Somo la Imla katika Shule za Upili nchini Kenya.pdf
Size:
9.88 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: