Usawiri wa Mandhari katika Nyimbo Teule za Jadi za Jamii ya Abagusii

dc.contributor.authorOroko, Kerubo Judith
dc.contributor.authorMuriithi, Jesse Joseph
dc.date.accessioned2025-10-21T13:27:01Z
dc.date.available2025-10-21T13:27:01Z
dc.date.issued2025-05
dc.descriptionArticle
dc.description.abstractMandhari ni kipengele muhimu sana katika kazi yoyote ile ya fasihi na nyimbo hazijasazwa. Madhumuni makuu ya makala haya ni kueleza kuhusu usawiri wa mandhari katika nyimbo teule za jadi za jamii ya Abagusii. Yaani kuonyesha maudhui yaliyojengwa kupitia kwa nyimbo teule, kudhirisha mila na desturi ambazo zinaangaziwa kupitia kwa nyimbo hizo na hata kuonyesha uhusiano kati ya jamii na mazingira anamoishi. Mandhari ambamo nyimbo hizi zilikuwa zimejikita yalikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha uwasilishaji wa nyimbo husika. Katika kazi yoyote ya fasihi, mandhari yana nafasi muhimu sana. Kwanza, watunzi wanaweza kujenga maudhui ya kazi zao kwa kutumia. Pili, dhamira na toni ya kazi husika inaweza kukuzwa. Hali kadhalika, usawiri wa wahusika unaweza kudhihirishwa kikamilifu na mwisho kabisa matumiza mbinu mbalimbali za mtindo yanaweza kuendelezwa.
dc.identifier.citationOroko, J. K. & Muriithi, J. J. (2025). Usawiri wa Mandhari katika Nyimbo Teule za Jadi za Jamii ya Abagusii. East African Nature & Science Organization, 8(1), 339-347. https://doi.org/10.37284/jammk.8.1.3020
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.37284/jammk.8.1.3020
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/31800
dc.language.isoen
dc.publisherEast African Nature & Science Organization
dc.titleUsawiri wa Mandhari katika Nyimbo Teule za Jadi za Jamii ya Abagusii
dc.typeArticle
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Full-text Journal Article.pdf
Size:
292.32 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.66 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: