Fasihi Andishi ya Kiswahili na Swala la Dini: Mifano ya Riwaya ya Said Ahmed Mohamed na za Euphrase Kezilahabi’, in Fasihi ya Kiswahili: Utafiti na Maendeleo yake

Loading...
Thumbnail Image
Date
2018
Authors
Osore, Miriam
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI)
Abstract
Wataalamu wengi kama Alter (1981) wanadai kwamba, kuna uhusiano rnkubwa kati ya itikadi ya kidini, maandishi ya kidini na utunzi wa fasihi. Hii ina maana kwamba, watunzi wa kazi za fasihi huathiriwa na itikadi za kidini katika kusawiri maudhui ya aina mbalimbali. Lengo la sura hii ni kubainisha ni kwa kiwango gani Said Ahmed Mohamed na 'Euphrase Kezilahabi .wanaonekana kuathiriwa na itikadi za dini za Uislamu na Ukristo mtawalia. Kwa mujibu wa Kaufmann (1976.: ix) dini inahusu maswala ya imani, maadili na sanaa. Dini zote za ulimwengu zina misingi yake katika itikadi ambayo hutoa taswira fulani ya muono wa dunia. Kazi nyingi za fasihi za waandishi teule zinaonekana kudhihirisha athari za itikadi za Kiislamu, Kikristo na za dini za kienyeji.
Description
Book Chapter
Keywords
Citation
Miriam Osore (2018): ‘Fasihi Andishi ya Kiswahili na Swala la Dini: Mifano ya Riwaya ya Said Ahmed Mohamed na za Euphrase Kezilahabi’, in Fasihi ya Kiswahili: Utafiti na Maendeleo yake’, edited by Kandagor M. and Mukuthuria M. Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) pp 188 – 199. ISBN 978-9976-5058-87.