Dhuluma dhidi ya watoto katika riwaya za kiswahili

Loading...
Thumbnail Image
Date
2011-11-16
Authors
Kavuria, Peter N.
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Utafiti huu umeshughulikia maudhui ya dhuluma dhidi ya watoto kama vanavyobainika katika riwaya teule za Kiswahili. Mtafiti amehakiki kazi teule za waandishi za riwaya zilizoandikwa na waandishi wa k ke na wa kiume. Riwaya zilizohakikiwa ni: Siku Njema, ya K. Walibora, :. Momanyi, Yatima ya K.Wamitila. na k pimo cha Alizani ya :-.Burhani . nadharia iliyotumiwa katika utafiti huu ni ya Ukata tamaa na ushari Nadharia hii hujumuisha mambo ya kibinafsi na ya!e ya kijam ambayo yanaweza kue!eza chanzo cha aina nyingi za dhuluma. Tasnifu hii imegawika katika sura tano. Sura ya kwan za imeshug hulika mada ya utafiti, malengo ya utafiti na sababu za kuchagua mada Vilevile imegusia udurusu wa tafiti za awali, misingi ya nadharia, ukusanyaji w a data pamoja na uchanganuzi na uwasilishaii wa data. Sura ya pili imetalii aina mbalimbali za dhuluma zinazowakabili watoto zinavyodhihilika pamoja na athari zake. Katika sera ya tatu, wanajamii wanaotekeleza dhuluma dhidi ya watoto wameonyeshwa Sura ya tano nayo imeshughulikia tofauti na ukubaliano wa waandishi wa kiume na wa kike kuhusu dhuluma kwa watoto. Sura ya tano ni hitimisho linalotoa muhtasari na matokeo ya utafiti huu pamoja na mapendekezo ya mtafiti. Mwisho Kuna marejeleo ya utafiti huu
Description
The PL 8704.K3D48
Keywords
Child abusein literature//Walibora, Ken, Siku njema--History and criticism//Burhani, Z.,Kipimo cha mizani--History and criticism//Momanyi, C.,Tumaini--History and criticism//Wamitila, K.,Yatima--History and criticism//Kiswahili literature--History and criticism
Citation