Mikakati ya Uchambuzi wa Fasihi ya Watoto: Mtazamo wa Upokezi wa Msomaji

dc.contributor.authorNgugi, Pamela M.Y.
dc.date.accessioned2024-02-09T06:18:34Z
dc.date.available2024-02-09T06:18:34Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractFasihi ni kama ndovu, nasi kama wafasili tunaweza kugusa sehemu mbalimbali za mwili wake kujua alivyo ndovu huyu. Kila mara tunapofanya hivyo, tunagundua jambo jipya. Unapomgusa ndovu huyu leo wakati mikono yako imejaa maji au ina unyevunyevu au hata baada yo miaka mingi, unapata kumjua kwa njia tofauti. Fasihi ni kama ndovu huyu, kila mara unapoisoma unagundua jambo jipya ... (Maoni yaliyotolewa no Prof Ngugi katika mahojiano baina yoke no Dkt. Tom Odhiambo na Julias Sigei, Juni, 2, 2015). Kauli hii aliyotoa Prof Ngugi inadhihirisha ukweli kuwa msomaji wa kazi yoyote yo fasihi ana nafasi kuu katika harakati ya kuipa maana kazi ya kifasihi. Kilo mara msomaji anaposoma kazi ya kifasihi huvyaza maana mpya. Maana hizi anazopata kutoka kazi hiyo hutokana na mazingira ya msomaji, ufahamu wake na uzoefu wa kiusomaji pamoja na muktadha wa msomaji. Makala haya yanalenga kubainisha mikakati ya uchambuzi wa fasihi ya watoto kwa kuegemea mkabala wa Upokezi wa Msomaji hasa kwa kuegemea msimamo wa Rosenblatt (1995) wa "Mapatano katika usomaji." Mtazamo huu unachukulia kwamba msomaji wa kazi fulani ana mchango mkubwa katika harakati za kuipa maana kazi ya kifasihi.en_US
dc.identifier.citationNgugi, P. M. (2016). Mikakati ya Uchambuzi wa Fasihi ya Watoto: Mtazamo wa Upokezi wa Msomaji. Kiswahili, 79(1), 43-52.en_US
dc.identifier.issn0856-048X
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27612
dc.publisherAJOLen_US
dc.titleMikakati ya Uchambuzi wa Fasihi ya Watoto: Mtazamo wa Upokezi wa Msomajien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mikakati ya Uchambuzi wa Fasihi ya Watoto Mtazamo wa Upokezi wa Msomaji.pdf
Size:
6.41 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: