Nadharia za Uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi

dc.contributor.authorWafula, R. M.
dc.date.accessioned2015-08-13T07:07:31Z
dc.date.available2015-08-13T07:07:31Z
dc.date.issued2014
dc.descriptionJournal Articleen_US
dc.description.abstractUtunzi na uhakiki wa fasihi ya Kiswahili umepanuka sana katika miongo mitano iliyopita. Makala haya yananuia kuonyeshe dhima ya nadharia katika kutaalamisha usomaji wa fasihi. Nadharia za uhakiki (na wakati mwingine za utunzi) zimepevusha usomaji na uhakiki kwa viwango ambavyo havingeweza kukadirikeahapo awali. Kwa njia hii, lugha ya Kiswahili imeweza kueleza maarifa anuwai kwa viwango vya juu. Nadharia na mikondo ya uhakiki kama usemezano na udenguzi vimetuwezesha kuchanganua matini ya kifasihi kwa jicho la upekuzi. Kwa upande mwingine, changamoto katika utumiaji wa baadhi ya nadharia hizi zimejitokeza na zinapaswa lwtathminiwa katika mazingira ambamo lugha ya Kiswsbili inaendelea kutumiwa lwfafanulia ujuzi wowote ule. Makala haya yanatalii manufaa ya matumizi ya nadharia katika uhakiki na kuweka wazi matatizo yanayoandamana na matumizi ya baadhi ya nadharia hizo. Hatimaye, njia mwafaka ya kufuatwa imependekezwa.en_US
dc.identifier.citationJournal of Linguistics and Languages in Education Vol.8, No. 1 (2014)en_US
dc.identifier.issn0856-9965
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/13416
dc.language.isootheren_US
dc.publisherDepartment of Foreign Languages and Linguistics - University of Dar es Salaamen_US
dc.subjectUtunzien_US
dc.subjectUhakikien_US
dc.subjectFasihi ya Kiswshilien_US
dc.subjectNadharia za uhakikien_US
dc.titleNadharia za Uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Nadharia za Uhakiki....pdf
Size:
8.48 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: