Polisemi ambazo Zimeundwa Kutokana na Sitiari na Metonimu katika Kiswahili

dc.contributor.authorMasika, Mark Elphas
dc.contributor.authorMwita, Leonard Chacha
dc.date.accessioned2024-10-22T08:54:27Z
dc.date.available2024-10-22T08:54:27Z
dc.date.issued2024-02
dc.descriptionArticle
dc.description.abstractMakala haya imechunguza polisemi ambazo zimeundwa kutokana na sitiari na metonimu katika Kiswahili. Kimsingi, polisemi ni leksimu moja yenye maana nyingi ambazo zinahusiana kwa njia moja au nyingine. Pia polisemi huundwa kwa njia zingine kwa mfano, ukopaji, mabadiliko katika matumizi ya neno, na ufasiri mpya wa homonimu. Nadharia ya semantiki tambuzi ilitumiwa katika uchambuzi wa data ya utafiti huu. Nadharia hii ni sehemu ya nadharia ya Isimu Tambuzi ambayo ina misingi yake katika saikolojia tambuzi . Data ya makala haya ilikusanywa maktabani. Maneno ambayo ni polisemi na yameundwa kwa sitiari na metonimu kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2018) yalikusanywa. Mbinu ya usampulishaji wa kimaksudi ilitumika katika uteuzi wa sampuli. Kutokana na data ya utafiti huu, imebainika kuwa kuna baadhi ya polisemi zilizojitokeza ndani ya homonimu. Kwa mfano, tata1 na chuo1. Pia, utafiti huu umebaini kuwa polisemi nyingi huundwa kisitiari ikilinganishwa na metonimu. Makala haya inapendekeza kwamba tafiti zingine zaidi zinaweza kufanywa kuhusu namna mbinu zingine za lugha kama vile chuku, methali, nahau na tashibihi zinaweza kuchangia katika Isimu.
dc.identifier.citationMasika, M. E.& Mwita, L. C.(2024). Polisemi Ambazo Zimeundwa Kutokana Na Sitiari Na Metonimu Katika Kiswahili.East African Journal of Swahili Studies, 7(1), 87-97. https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1769.
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1769
dc.identifier.urihttps://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/29244
dc.language.isoen
dc.publisherEANSO
dc.titlePolisemi ambazo Zimeundwa Kutokana na Sitiari na Metonimu katika Kiswahili
dc.typeArticle
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Full-text Article.pdf
Size:
280.09 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.66 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: