Ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili: mfano wa malenga wa Mvita na malenga wa Vumba

dc.contributor.advisorGeofrey K. King'ei
dc.contributor.advisorMasinde, E. W.
dc.contributor.authorMung'athia, Robert
dc.date.accessioned2012-03-29T06:30:53Z
dc.date.available2012-03-29T06:30:53Z
dc.date.issued2012-03-29
dc.descriptionDepartment of Kiswahili and African Languages,131p.The PL 8704 .M8U34 2011
dc.description.abstractTasnifu hii imejadili suala Ia ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili ikizingatia diwani za Malenga wa Mvita na Malenga wa Vumba. Mashairi kumi kutoka diwani zote mbili yaliteuliwa kwa kuzingatia mada za unyumba, lugha na maliwazo,majonzi na maliwazo. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni nadharia changamano iliyotokana na nadharia mbili: nadharia ya uhistoria mpya na nadharia ya udenguzi. Mihimili ya nadharia hii changamano ilitumika kama dira ya kuongoza utafiti huu katika kuyafikia malengo yake. Malengo ya utafiti huu yalikuwa ni pamoja na kubainisha kuwa mashairi kadha ni mafumbo, kubainisha vipengele vya lugha vilivyochangia kufumba maana au ujumbe wa mwandishi na kudhihirisha jinsi ya kupata fasiri tofauti za maana ya shairi iii kufanikisha uwasilishaji wa maudhui. Data iliyotumika katika utafiti huu ilikusanywamaktabani. Tulipitia diwani mbalimbali za mashairi pamoja na vitabu vingine vya fasihi na nadharia, tasnifu na majarida yaliyochangia kuupa msingi utafiti huu kinadharia na kimpangilio wa clata.Matokeo ya uchanganuzi wa data yalidhihirisha kwamba mashairi kadha ya Kiswahili ni mafumbo. Aidha, ucladisi wa kina wa macla, vipengele vya lugha vilivyotumika katika shairi, mtiririko wa ujumbe wa mwandishi kutoka ubeti wa kwanza hacli ubeti mwisho na kibwagizo hufanikisha ufumbuaji wa ujumbe. wa mwandishi. Mwisho, mapendekezo ya utafiti zaidi yalitolewa kuhusiana na matokeo ya utafiti huu.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/3585
dc.language.isoenen_US
dc.subjectAhmad, Nassir., Malenga wa Mvita --History and criticism
dc.subjectSwahili poetry --History and criticism
dc.titleUfumbuaji wa mashairi ya Kiswahili: mfano wa malenga wa Mvita na malenga wa Vumbaen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ufumbuaji wa mashairi va kiswahili.pdf
Size:
76.75 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: