Usawiri wa mishororo katika ushairi wa Kiswahili
dc.contributor.advisor | King'ei, Kitula Osore, Miriam | |
dc.contributor.author | Ndirangu, Teresa Wanjiku | |
dc.date.accessioned | 2016-08-29T14:42:28Z | |
dc.date.available | 2016-08-29T14:42:28Z | |
dc.date.issued | 2016 | |
dc.description | Tasnifu hii imetolewa ill kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika chuo Kikuu cha Kenyatta | en_US |
dc.description.abstract | Utafiti huu ulitathmini kuchunguza usawiri wa mishororo katika ushairi wa Kiswahili. Diwani mbili zilirejelewa: Tamthilia ya Maisha (2005) iliyohaririwa na Kyallo Wadi Wamitila na Diwani ya Karne Mpya (2007) ambayo imehaririwa na Ken Walibora. Utafiti huu ulidhamiria kutimiza malengo matatu makuu. Kwanza, tulilenga kuainisha mishororo katika mashairi teule kutoka diwani hizo. Pili, kuchunguza dhima mbalimbali za mishororo hiyo. Aidha, tulilenga kuchunguza jinsi usawiri wa mishororo ulivyofanikisha usawiri wa dhamira na maudhui. Nadharia ya Kiutanzu iliongoza utafiti huu ambapo mihimili yake ilitumiwa kuhakiki mishororo kama sifa ya msingi ya utanzu wa ushairi. Imetusaidia kuhakiki sura mbalimbali za mishororo na nafasi zake katika usawin wa mashairi. Data ilikusanywa kwa kusoma kwa kina na kunukuu mistari iliyotuelekeza kwenye malengo ya utafiti wetu. Data hiyo imechanganuliwa na kuwasilishwa kwa mbinu ya kimaelezo kuambatana na malengo, maswali ya utafiti na nadharia iliyozingatiwa. Uwasilishaji umefanywa kwa sura tano. Sura ya kwanza ina sehemu zifuatazo: utangulizi, mada ya utafiti, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka, yaliyoandikwa kuhusu mada na misingi ya nadharia. Sura ya pili imechunguza historia na mabadiliko ya ushairi wa Kiswahili. Sura ya tatu imelenga kuainisha mishororo na sura ya nne imeshughulikia dhima za mishororo hiyo. Sura ya tano imeshughulikia muhtasari, hitimisho na mapendekezo ya utafiti. Matokeo ya utafiti huu yatawafaa wanafunzi, wahakiki na watunzi wa mashairi kwa jumla. | en_US |
dc.identifier.uri | http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/14902 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Kenyatta University | en_US |
dc.title | Usawiri wa mishororo katika ushairi wa Kiswahili | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Usawiri wa mishororo katika ushairi....pdf
- Size:
- 80.43 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
- Full text thesis
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: