Valensi ya kitenzi katika kishazi cha kiswahili
Loading...
Date
2014
Authors
Ombuna, Onsarigo Victor
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Valensi ya kitenzi katika kishazi cha Kiswahili ni kazi inayowasilisha uchanganuzi wa
vishazi hum vya Kiswahili kwa madhumuni ya kubainisha jinsi kitenzi cha Kiswahili
_ kinavyodhihirisha valensi. Dhana ya valensi imefafanuliwa katika kazi hii kama uwezo
wa kitenzi kudhibiti idadi fulani ya dhima za kisintaksia na kisemantiki katika muundo
wa kishazi hum. Data iliyotumika katika utafiti wa sasa ilizalishwa na watafitiwa sita
waliowasilishiwa vitenzi sita kwa kila mmoja ili wavitungie vishazi huru. Vitenzi
viliteuliwa kupitia mbinu bahatishi mfumo kutoka kwa kamusi ya Kiswahili Sanifu ya
Oxford. Uchanganuzi wa data uliojikita katika mihimili ya Sintaksia Finyizi ulifanywa
kwa madhumuni ya kubainisha muundo wa valensi ya kitenzi katika kishazi huru cha
Kiswahili. Inabainishwa kuwa kitenzi cha Kiswahili hudhihirsha muundo wa valensi ya
dhima kapa, dhima moja, dhima mbili na dhima tatu. Ingawa -inasemekana kuwa kitenzi
___ sielekezi hakidhibiti.dhima ya yambwa, data ya utafitihuu inadhihirisha kuwa baadhi ya
- -
vitenzi sielekezi huweza kudhibiti dhima mbili ikiwemo yambwa katika mazingira ya
kisintaksia ambapo kishazi kimefanyiwa uchomozi kamili. Uchomozi wa kishazi pia
unabainika katika vishazi vilivyoundwa kwa vitenzi elekezi ambapo muundo wa valensi
ya dhima tatu unazalishwa. Utafitihuu pia unadhihirisha kuwa kipatanishi cha kiima ni
kijenzi cha lazima katika ubainishaji wa valensi ya kitenzi cha Kiswahili huku matumizi
ya kipatanishi yambwa yakitegemea vigezo mbalimbali kama vile mahitaji ya
kimawasiliano ya kuwa na .umahsusi sawia na sifa za kisemantiki za yambwa. Kando .na
- -
muundo wa valensi, tasnifu hii pia inawasilisha mabadiliko katika muundo wa valensi ya
kitenzi=katika kishazi chaKiswahili, Inabainika -kuwamabadilikG katika muundo wa -
valensi ya kitenzi katika kishazi cha Kiswahili yanatokana na michakato mbalimbali ya
kimofosintaksia.
VERBAL VALENCY IN THE KISWAHILI INDEPENDENT CLAUSE This study examines the valency structure of Kiswahili verbs within the Kiswahili independent clause. Verbal valency is herein defined as the inherent ability of a verb to govern a specific number of arguments of a particular type within the structure of an independent clause. Data used in this study was generated by six respondents who were each presented with six different verbs from which they generated the independent clauses used in this study. Verbs presented to the respondents for the purpose of generating data for the current study were selected via a stratified random process from the Kiswahili Oxford Dictionary. Data was analyzed within the Minimalist theoretical framework with the aim of establishing the valency structures of Kiswahili verbs. The study reveals that the basic Kiswahili verb manifests different valency structures dependent on their .syntactic environment. _The avalent, monovalent, divalent, and.; tetravalent structures are all evident in this study. Whilst it could be argued that intransitive verbs do not take direct objects, the data used in this study shows some of the intransitive verbs taking a direct object in the extended intransitive clause. Extended clauses are also noted in a few transitive clauses.Tn such extended transitive clauses, the verb appears to govern a second object in their basic forms so that its valency structure becomes tetravalent. The study also shows that while subject markers are an integral element in the description of verbal valency in Kiswahili, the -use of object markers .depend on certain communicative requirements such as the need for specificity and the semantic properties of objects. Finaly, the QJrrept "studypresentsen analysis 'en change in valency structures of Kiswahili verbs and herein concludes that change In valency structures ofKiswahili verbs is as a result of mophorsyntactic processes.

Description
Shahada ya Azamili , Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiasili.2014