Mitazamo ya Walimu kuhusu Teknolojia ya Mawasiliano katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Kaunti Ndogo ya Kasipul, Kenya
No Thumbnail Available
Date
2017-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kenyatta University
Abstract
Utafiti huu ulinuia kuchunguza mitazamo ya walimu katika kushirikisha matumizi ya Tcknolojia ya Mawasiliano katika ufundishaji wa Kiswahili Katika shule za upili za Kaunti Ndogo ya Kasipul, Kaunti ya Homabay, Kenya. Utafiti wenyewe ulizingatia tcknolojia mpya kama vile teknolojia za kompyula pamoja na mtandao. Idadi iliyofanyiwa utafiti ilijumuisha walimu 52 wa Kiswahili, walimu wakuu 24 wa shule za upili na wanafunzi 2140. Utafiti huu ulichunguza misingi ya mitazamo ya walimu kuhusu ushirikishaji wa teknolojia ya mawasiliano katika ufundishaji wa Kiswahili katika kaunti ndogo va Kasipul. Madhumuni ya utafiti huu ulikuwa; kutathmini mitazamo ya walimu kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika ufunzaji na ujifunzaji wa Kiswahili, kubainisha viwango vya walimu vya matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano katika ufundishaji wa Kiswahili na kuchunguza changamoto zinazowakumba walimu katika kuitumia teknolojia ya mawasiliano darasani. Kwa kuzingatia misingi ya nadharia ya Ubunaji, misingi ya mitazamo ya walimu kuhusu kushirikisha teknoloji katika ufundishaji wa Kiswahili ulitathminiwa. Muundo wa kimaclezo ulitumika katika utafiti huu. Vifaa ambavyo vilitumiwa katika utafiti huu ni hojaji, uchunzaji pamoja na mahojiano. Maswali yaliyotumiwa katika hojaji yalikuwa maswali wazi, maswali funge na maswali ya viwango. Walimu wakuu, walimu ahili na wanafunzi walihojiwa ili kupambanua mitazamo yao katika i wa teknolojia ya mawasiliano katika ufundishaji wa Kiswahili. mia majedwali ya frikwenzi pamoja na wa kusababisha kuimarika kwa utekelezaji wasiliano katika somo la Kiswahili kwa kutambua changamoto za utekelezaji na ujumuishaji katika msingi wa mitazamo kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano. Hali kadhalika. yalinuiwa kuimarisha mtaala wa Kiswahili ili uweze kukidhi zaidi mahitaji ya walimu na wanafunzi kwa kuwawezesha kukabili vizuizi pamoja na kuwa msingi wa utafiti zaidi. Matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa mitazamo ya walimu kuhusu teknolojia ya mawasiliano ilikuwa chanya. Kwa kiwango fulani, mitazamo ya walimu katika ufundishaji wa Kiswahili kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano kuliathiriwa na vigezo kama umri, jinsia na kiwango cha kielimu. Kufuatia matokeo haya.ilipendekczwa kuwa walimu wa Kiswahili na hata wale walio kwenye vyuo mbalimbali wapewe mafunzo zaidi kuhusu matumizi ya teknolojia ya mav siliano katika ufundishaji. Matokeo ya utafiti yananuiwa kujaza pengo katika utoaji wa mafunzo ya Kiswahili na vile 2 wakuza mitaala kufanikisha zoczi la ufunzaji na vjifunzaji wa wa Kisw ushirikishaj Data ilichanganuliwa kwa kutu vielelezo. Matokeo ya utafiti yalinui na ujumuishaji wa tcknolojia ya ma vile kuwasaidi Kiswahili.
Description
Tasnifu hii imetolewa kutosheleza baadhi ya mahitaji ya Shahada ya Uzamili katika Taaluma ya Elimu na Ufundishaji katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, Agosti 2017.
Supervisor
1. Dkt. Hamisi Omar Babusa
2. Dkt. Florence A. Miima