Utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya’, in Kiswahili katika Elimu ya Juu
Loading...
Date
2019
Authors
Osore, Miriam
Mudhune, Everline
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
University Press
Abstract
Makala haya yanahusu utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Kenya. Utahini hulenga kubainisha ikiwa mwanafunzi anaweza kukumbuka aliyofundishwa darasani kwa njia ya mtihani. Hivyo basi katika kila somo, mhadhiri hutunga maswali mbalimbali ambayo yatajibiwa na mwanafunzi. Maswali husika yanaweza kulenga ufahamu, ufafanuzi, uchanganuzi, utathmini n.k.
Description
Book Chapter
Keywords
Citation
Miriam Osore (2019) & Everline Mudhune, ‘Utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya’, in Kiswahili katika Elimu ya Juu edited by Mohochi, E. S., Mukuthuria M., Ontieri O. J., Eldoret, Moi University Press pp 139 – 157.