Usasa katika Ngoma ya Itheke.

dc.contributor.authorKilauni, N. W.
dc.date.accessioned2011-12-02T07:57:51Z
dc.date.available2011-12-02T07:57:51Z
dc.date.issued2011-12-02
dc.descriptionDepartment of Kiswahili and African Languages,150p.The ML 350.K5 2007.
dc.description.abstractMalengo ya utafiti huu yalikuwa ni kutathmini usasa katika ngoma ya Itheke. Utafiti ulifanywa ili kubainisha jinsi usasa unavyoisaidia ngoma ya Itheke kuimarika na kuwa maarufu miongoni mwa j imii ya Wakamba. Aidha utafiti ulidhamiria kubainisha jinsi usasa unavyoiwezesha ngoma ya Itheke kutekeleza majukumu ya kijamii. Nadharia za usasa na uamali zimetumiwa kwa pamoja katika utafiti huu. Nadharia ya usasa imetuongoza kubainisha jinsi usasa unavyodhihirika katika vipengele vya ngoma ya Itheke ambavyo ni: lugha na mtindo, maudhui, muktadha, teknolj is ya kisasa, hadhira , ala na maleba. Nadharia ya uamali hasa kipengele cha Ethnografia ya mazungumzo kilitumika kubainisha jinsi vipengele vya ngoma ya Itheke vinavyotekeleza majukumu ya kijamii miongoni mwa jamii ya Wakamba. Ili kubainisha jinsi jamii ya Wakamba imekuwa ikikua na kubadilika, historia ya chimbuko la jamii Wakamba imedokezwa. Mabadiliko yalionekana kuadhiri mifumo yote ya kimaisha ikiwa ni pamoja na fasihi simulizi ya jamii ya Wakamba. Kwa sababu ya mabadiliko ya maisha, ngoma nyingi katika jamii ya Wakamba zimedidimia huku zingine zikiibuka. Ngoma ya Itheke ni mojawapo ya ngoma zilizoibuka na kuwa maarufu kwa sababu ya usasa. Utafiti huu umeonyesha sababu za ngoma ya Itheke kuwa maarufu wakati ngoma zingine zinapodidimia na kusahaulika.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/1844
dc.language.isoKiswahilien_US
dc.publisherKenyatta University
dc.subjectFolk music--Kamba--Kenya--History and citicism
dc.subjectMusic and dance--Kamba
dc.subjectMusic and technology--Kenya
dc.subjectEthnology--Kamba
dc.titleUsasa katika Ngoma ya Itheke.en_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Usasa katika Ngoma....pdf
Size:
68.43 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: