Ukoloni mamboleo na utandawazi katika tamthilia teule

dc.contributor.advisorWafula, R. M.
dc.contributor.advisorMugambi, Peter
dc.contributor.authorMwirabua, Andrew Kairi
dc.date.accessioned2015-02-26T09:37:26Z
dc.date.available2015-02-26T09:37:26Z
dc.date.issued2014
dc.descriptionDepartment of Kiswahili & African Languages, 115p. 2014en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza jinsi ukoloni mamboleo unavyodhihirika katika muktadha wa utandawazi kwa kurejelea tamthilia mbili teule: Posa za Bikisiwa (2008) ya S. A. Mohamed na K. King'ei na Sudana (2006) ya Alamin Mazrui na K. Njogu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Baada Ukoloni. Utafiti ulifanyiwa maktabani. Mtafiti alisoma makala mengi yaliyohusiana na mada ya utafiti ili kupata data iliyokusudiwa. Mtafiti pia alifanya utafiti wa nyanjani kwa kuwahoji watunzi. Vilevile, mtafiti aliwahoji wataalamu na wanafunzi wenzake. Aidha mtafiti alichanganua tamthilia hizi mbili teule ili kupata data iliyokusudiwa ili kutimiza matakwa ya utafiti huu. Data iliyokusanywa ilirekodiwa na kuchanganuliwa kwa kuzingatia malengo ya utafiti na nadharia ya Baada Ukoloni. Data zilizokusanywa zimewasilishwa kwa njia ya maelezo. Kazi hii imewasilishwa kwa sura tano. Utafiti huu umeonyesha kwamba utandawazi ni mbinu mpya ya kisasa ya kuendeleza ukoloni mamboleo dhidi ya mataifa maskini
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/12311
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKenyatta Universityen_US
dc.titleUkoloni mamboleo na utandawazi katika tamthilia teuleen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ukoloni Mamboleo na Utanda Wazi katika Tamthilia Teule.pdf
Size:
42.43 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: