Ufundishaji wa Kiswahili katika Nchi za Kigeni: Mfano wa Chuo Kikuu cha Syracuse’, in Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya,

dc.contributor.authorOsore, Miriam
dc.contributor.authorMidika, Brenda
dc.date.accessioned2023-11-22T16:47:33Z
dc.date.available2023-11-22T16:47:33Z
dc.date.issued2014
dc.descriptionBook Chapteren_US
dc.description.abstractUfundishaji na ujifunzaji wa lugha za Kiafrika katika nchi za kigeni un historia ndefu. Kwa mujibu wa Moshi katika Bokamba (2000:uk 26-27 ufundishaji wa lugha za Kiafrika haukuanzia madarasani bali ulianzi nyanjani katika kame ya 15 ambapo wamishenari walitaka kujua zaic kuhusu lugha zajamii walizokuwa wakieneza injili.Walianza kwa kuandik makamusi na vitabu vya sarufi ambavyo viliwahamasisha wanaisimu kam vile Wilhelm Bleek ambaye alichapisha kitabu A Comparative Grammar ( African Languages. Miongoni mwa wanaisimu wengine ni kama [ame Frederick Schon na Carl Meinhof ambaye alichapisha kitabu cha fonoloji ya lugha za Kibantu na Johann Ludwig Krapf aliyechapisha kitabu ch kwanza cha sarufi ya Kiswahili. Mafunzo ya lugha zaKiafrika nchini Marekani yalianzishwa miaka y 1950,kama kipengele muhimu cha sheria ya Taifa,The National Defense A( ya 1958,Sheria hii .ilianzisha vituo vya mafunzo kuhusu Afrika. Mafunz haya yalihusisha hasa lugha na fasihi. Kuanzia wakati huo vyuo nchin Marekani vimekuwa vikifunza lugha zaKiafrikaikiwemolugha yaKiswahil Katika kuadhimisha miaka 50ya Kiswahili ni muhimu kutathmini namn taalurria ya ufundishaji wa Kiswahili katika nchini za Kigeni inavyoendele. na mchango wake katika maenezi ya Kiswahili kimataifa. Makala hay. yanalenga kufafanua ufundishaji wa lugha ya Kiswahili nchini Marekani Yanagusia mbinu za ufundishaji kama, matumizi ya teknolojia n, changamoto ambazo walimu Waafrika wanakumbana nazo katik, kufundisha wazungu Kiswahili hasa katika Chuo Kikuu cha Syracuse.en_US
dc.identifier.citationMiriam Osore & Brenda Midika (2014): ‘Ufundishaji wa Kiswahili katika Nchi za Kigeni: Mfano wa Chuo Kikuu cha Syracuse’, in Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya, edited by Simala, I., Chacha L. Osore M. (eds) Nairobi, Twaweza Communications, Nairobi pp. 80-92. ISBN 978 9966 028 488.en_US
dc.identifier.isbn978 9966 028 488
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27182
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTwaweza Communicationsen_US
dc.titleUfundishaji wa Kiswahili katika Nchi za Kigeni: Mfano wa Chuo Kikuu cha Syracuse’, in Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya,en_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ufundishaji wa Kiswahili Katlka Nchi za Kigeni Mfano wa Chuo Kikuu cha Syracus'e.pdf
Size:
6.2 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text Book Chapter
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: