Taswira ya mwanamke kama inavyojitokeza katika nyimbo za kisasa za Rap

dc.contributor.authorWachira, James Waweru
dc.date.accessioned2011-12-16T09:33:03Z
dc.date.available2011-12-16T09:33:03Z
dc.date.issued2011-12-16
dc.descriptionDepartment of Kiswahili and African Languages, 171p. The PL 8704.W3T3 2006en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia taswira ya mwanamke kama inavyojitokeza katika nyimbo za kisasa za Rap. Mtafiti amehakiki tungo za wasanii wa kike na wa kiume ambazo ni mojawapo wa tanzu mpya za fasihi simulizi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni kitengo kimoja cha usanii ambayo ni nadharia ya uchanganuzi-nafsia katika mtazamo-kike. Nadharia hii hujishughulisha na hali za kinafsi hasa kupitia kwa matumizi ya lugha. Nadharia hii imetumika kwa kuzingatia lugha kama utaratibu wa kiishara katika utafiti huu. Tasnifu hii imegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti ambapo mada ya utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada, pamoja na upeo wa utafiti huu zimeshughulikiwa. Pia, udurusu wa maandishi yanayohusu mada hii pamoja na nadharia iliyoongoza utafiti huu imejadiliwa. Sura ya pili inashughulikia itikadi mbalimbali zinazojitokeza katika nyimbo za wasanii wa kiume wa nyimbo za kisasa za rao kuhusu taswira ya mwanamke katika jamii. Katika sura ya tatu, taswira ya mwanamke kama inavyosawiriwa na wasanii wa kike wa nyimbo hizi imejadiliwa. Sura ya nne imeshughulikia baadhi ya mambo ya kitamaduni yanayoathiri jinsi mwanamke anavyosawiriwa na wasanii hawa. Sura ya tano ni hitimisho linalotoa muhtasari na matokeo ya utafiti huu, pamoja na mapendekezo ya utafiti. Mwisho kabisa, kuna marejeleo na kiambatisho cha data iliyotumika katika utafiti huuen_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/2020
dc.language.isoenen_US
dc.subjectnovelen_US
dc.titleTaswira ya mwanamke kama inavyojitokeza katika nyimbo za kisasa za Rapen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Taswira ya mwanamke kama ina vyojitokeza katika nyimbo za kisasa za rap.pdf
Size:
70.89 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full Text Thesis
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
2.68 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: