Mitazamo ya utendakazi wa nyiso katika jamii ya watigania
Résumé
Malengo ya utafiti huu valikuwa kutathmini utendakazi wa nviso katika iamii va Watigania na kubainisha mitazamo mbalimbali kuhusiana na utendakazi wa nviso hizo. Aidha, utafiti huu ulidhamiria kuchunguza jinsi majukumu valivotekelezwa na nviso yalivvoathiriwa na mapisi na kwa kiwango gani.
Kwa kuzingatia Nadharia va Uamali, hasa kipengele cha utendi-nenaji cha Austin(1962) na Ethnografia ya mawasiliano ya Hymes(1974) utafiti huu umeonvesha kuwa muktadha na lugha - jamii huchangia pakubwa katika kuelewa na kufahamu utendakazi wa nviso katika jamii.
Lieha va mabadiliko va kimaisha, kama vile ukoloni,, ubepari, dini va Kikristo, kuwepo mfumo rasmi wa elimu na maendeleo va kisavansi, nviso zinaendelea kuimbwa katika jamii ya Watigania na baadhi va wanajamii. Utafiti huu uligundua kwamba hii ni kwa sababu majukumu valivokuwa yakitekelezwa na nviso bado yako. Ingawa majukumu mengine yamebadilika, nviso nazo zimebadilika ili kutosheleza mahitaii va wakati wake.
Kwa sababu za mabadiliko valivotajwa hapo juu, kumezuka mitazamo mitatu mahususi, vaani wanamapokeo, wanamapinduzi na wana maafikiano kuhusiana na utendakazi wa nviso katika jamii ya Watigania. Utafib huu umeonvesha sababu za kuwa na mitazamo hivo mitatu.