• English
    • français
  • English 
    • English
    • français
  • Login
View Item 
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

Mitazamo ya utendakazi wa nyiso katika jamii ya watigania

Thumbnail
View/Open
Full text Thesis (47.12Mb)
Date
2012-01-04
Author
Mutwiri, George
Metadata
Show full item record
Abstract
Malengo ya utafiti huu valikuwa kutathmini utendakazi wa nviso katika iamii va Watigania na kubainisha mitazamo mbalimbali kuhusiana na utendakazi wa nviso hizo. Aidha, utafiti huu ulidhamiria kuchunguza jinsi majukumu valivotekelezwa na nviso yalivvoathiriwa na mapisi na kwa kiwango gani. Kwa kuzingatia Nadharia va Uamali, hasa kipengele cha utendi-nenaji cha Austin(1962) na Ethnografia ya mawasiliano ya Hymes(1974) utafiti huu umeonvesha kuwa muktadha na lugha - jamii huchangia pakubwa katika kuelewa na kufahamu utendakazi wa nviso katika jamii. Lieha va mabadiliko va kimaisha, kama vile ukoloni,, ubepari, dini va Kikristo, kuwepo mfumo rasmi wa elimu na maendeleo va kisavansi, nviso zinaendelea kuimbwa katika jamii ya Watigania na baadhi va wanajamii. Utafiti huu uligundua kwamba hii ni kwa sababu majukumu valivokuwa yakitekelezwa na nviso bado yako. Ingawa majukumu mengine yamebadilika, nviso nazo zimebadilika ili kutosheleza mahitaii va wakati wake. Kwa sababu za mabadiliko valivotajwa hapo juu, kumezuka mitazamo mitatu mahususi, vaani wanamapokeo, wanamapinduzi na wana maafikiano kuhusiana na utendakazi wa nviso katika jamii ya Watigania. Utafib huu umeonvesha sababu za kuwa na mitazamo hivo mitatu.
URI
http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/2228
Collections
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages [234]

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback

 

 

Browse

All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

My Account

LoginRegister

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback