Dhuluma dhidi ya watoto katika riwaya za kiswahili
Abstract
Utafiti huu umeshughulikia maudhui ya dhuluma dhidi ya watoto kama
vanavyobainika katika riwaya teule za Kiswahili. Mtafiti amehakiki kazi teule za waandishi za riwaya zilizoandikwa na waandishi wa k ke na wa kiume. Riwaya zilizohakikiwa ni: Siku Njema, ya K. Walibora,
:. Momanyi, Yatima ya K.Wamitila. na k pimo cha Alizani ya :-.Burhani .
nadharia iliyotumiwa katika utafiti huu ni ya Ukata tamaa na ushari Nadharia hii hujumuisha mambo ya kibinafsi na ya!e ya kijam ambayo yanaweza kue!eza chanzo cha aina nyingi za dhuluma.
Tasnifu hii imegawika katika sura tano. Sura ya kwan za imeshug hulika mada ya utafiti, malengo ya utafiti na sababu za kuchagua mada Vilevile imegusia udurusu wa tafiti za awali, misingi ya nadharia, ukusanyaji w a data pamoja na uchanganuzi na uwasilishaii wa data.
Sura ya pili imetalii aina mbalimbali za dhuluma zinazowakabili watoto zinavyodhihilika pamoja na athari zake.
Katika sera ya tatu, wanajamii wanaotekeleza dhuluma dhidi ya watoto wameonyeshwa Sura ya tano nayo imeshughulikia tofauti na ukubaliano wa waandishi wa kiume na wa kike kuhusu dhuluma kwa watoto.
Sura ya tano ni hitimisho linalotoa muhtasari na matokeo ya utafiti huu pamoja na mapendekezo ya mtafiti. Mwisho Kuna marejeleo ya utafiti huu
Collections
Related items
Showing items related by title, author, creator and subject.
-
A critical study of history and government syllabus and textbooks in Kenyan secondary schools
Were, Mary Washika (2012-04-04)The study is concerned with the History and Government syllabus and textbooks used in secondary schools in Kenya. The main area of focus is on the content of the syllabus and textbooks; whether they are in the line with ... -
A critical analysis of style and social significance in Luo children's oral poetry
Oiyo, Boaz Owino (2011-12-15)Children's oral poetry is an important area of study, because it employs verse to social values and condition the children's to their norms. It is pertinent to the child to memorize the social lessons learnt from these ... -
A critical study of methods and materials used to teach history and government in secondary schools in Kenya.
Kiio, Mueni Ngungui (2012-04-04)The primary concern of this study was to investigate the methods and materials used to teach History and Government in secondary schools in Kenya. Specifically, the study attempted to investigate the following: (i) ...