• Login
    View Item 
    •   Repository Home
    • Master Theses and Dissertations(MST)
    • MST-School of Humanities and Social Sciences
    • MST-Department of Kiswahili and African Languages
    • MST-Department of Kiswahili and African Languages
    • View Item
    •   Repository Home
    • Master Theses and Dissertations(MST)
    • MST-School of Humanities and Social Sciences
    • MST-Department of Kiswahili and African Languages
    • MST-Department of Kiswahili and African Languages
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Tathmini ya hadithi za watoto katika mtandao

    Thumbnail
    View/Open
    Full text Thesis (58.23Mb)
    Date
    2015
    Author
    Gatwiri, Joy Njue
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Utafiti huu ulinuia kutathrnini hadithi za watoto katika mtandao. Hadithi mbalimbali za watoto zilichunguzwa arnbazo ni: visasili, hekaya, hurafa na hadithi zinazotokana na methali. Njia rnbalimbali za matumizi ya mtandao ziliangaziwa arnbazo ni matumizi ya mtandao kama kifaa cha kutolea matangazo na waandishi na wachapishaji ambao huonyesha bei mbalimbali ya vitabu. Pia mtandao kama maktaba ambapo watoto wanaweza kutumia muda wao kuzisoma hadithi katika mtandao. Pia nj ia tofauti ambazo zimetumiwa kuwasilisha hadithi hizo ambazo ni kwa maandishi ambayo yanaweza kusomwa na matumizi ya vielelezo. Utafiti pia uliangazia hadithi ambazo zimechapishwa na zile arnbazo hazijachapishwa. Nadharia ya utegernezi wa vyombo vya habari ya Ball- Rokeach na Defleaur (1976) ilitumika ambayo ilisaidia kuelewa jinsi hadithi za watoto zinavyoingiliana na vyombo vya habari ili kutirniza malengo matatu ambayo ni maelewano, burudani na ufunzaji. Nadharia ya fasihi ya watoto ya J ungmeen (1999) pia itatumiwa ili kuelewa jinsi fasihi ya watoto inavyotangamana na maendeleo ya teknolojia. Utafiti huu uliendelezwa katika maktaba na kutalii tovuti mbalimbali . Utafiti huu ulikuwa wa kimaelezo na ufafanuzi. Mbinu ya jumla ilitumika katika kuchanganua data.
    URI
    http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/14156
    Collections
    • MST-Department of Kiswahili and African Languages [206]

    Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Browse

    All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
    Contact Us | Send Feedback