RP-Department of Educational Communication and Technology
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing RP-Department of Educational Communication and Technology by Author "Babusa, Hamisi"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Matumizi ya Visaidizi vya Ufundishaji Msamiati wa Kiswahili katika Shule za Msingi za Umma, Kaunti ya Kisumu Mashariki, Kenya(Indore, 2016) Kamau, Hellen Wambui; Ondigi, S. R.; Babusa, HamisiUtafiti huu ulishughulikia uchunguzi wa matumizi ya vifaa vya ufundishaji wa msamiati wa kiswahili katika shule za msingi za umma, Kaunti Ndogo ya Kisumu Mashariki, Kenya. Malengo aliyozingatia mtafiti katika utafiti huu yalikuwa pamoja na kutambua changamoto zilizopo wakati wa kutumia vinyago, video na chati katika somo la msamiati, kudadisi sera zilizopo za ukaguzi ili kudhibiti utumizi wa video, chati na vinyago ili kusaidia uelewekaji wa msamiati na kuchunguza udhaifu na ufaafu uliopo katika ufundishaji msamiati kwa kutumia video, chati na vinyago katika somo la Kiswahili. Utafiti ulilenga idadi ya walimu kumi wa Kiswahili katika Shule za msingi katika Kaunti Ndogo ya Kisumu Mashariki. Baadhi ya hizi mtafiti aliteuwa kwa bahati nasibu walengwa walioteuliwa kama hivi walimu wakuu kumi, walimu wa Kiswahili kumi na wanafunzi kumi. Walengwa wote walikuwa mia nane ishirini ambao waliimbua asilimia kumi, basi idadi ilio hojiwa ikawa themanini na wawili. Hojaji zilikuwa tatu za walimu wakuu, walimu wa Kiswahili. Utafiti ulichanganuliwa kwa kutumia SPSS kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi. Baada ya kutafiti na kuchanganua data, mtafiti alipendekeza haja ya walimu wa Kiswahili kuwa na vikao katika majopo. Mtafiti pia aona kuwa kuna haja washika dau wote wa elimu kufufua taasisi za Kaunti ili kukuza hitaji la uundaji visaidizi ili walimu wapate kuendeleze ueledi wao wa kuunda visaidizi ili kuboresha uelewekaji wa dhana za Kiswahili. Kadhalika, washika dau wana changamoto kubwa ya kuleta mashuleni rasilimali ya kutosha kutengeneza visaidizi vinavyohitajika. Jambo lingine ni kuwa shule zingetenga sehemu mahususi ya kuhifadhi visaidizi ili vitumike bila uwoga wa kuharibika ama kupotea. Mwisho, walimu watie misingi thabiti ya ufunzaji msamiati kuanzia madarasa ya chini ili wanafunzi wasielewe dhana hizi kimakosa kisha wahitajike kurekebishwa baadaye. Jambo hili ndilo lililokita mizizi sehemu nyingi za Kaunti ya Kisumu Mashariki, Kenya.Item Use of Information Communication and Technology and Its Influence on Performance in Landforming Processes among Secondary Schools in Lamu County, Kenya(International Journal of Scientific Development and Research, 2024) Wainaina, N. Lucy; Ondigi, Samson; Babusa, HamisiResearch shows that ICT can promote quality education by fostering a learner-centered environment, quality teaching-learning processes, and strategies, effectual, creative, motivated, collaborative, interdisciplinary, evaluative, and self-directed learning as well as the enrichment of basic skills. This study probed the use of ICT in teaching and learning land forming processes among secondary schools. The two major objectives of the study were: first, to establish types of ICT resources used in teaching and learning land forming processes, second, to establish factors influencing the choice of ICT used in teaching and learning land forming processes The study employed the Roger’s (2003) theory of Diffusion of Innovation. The study sought to investigate whether the form two geography teachers and students use ICT when teaching and learning land forming processes. The study involved a sample size of 121 students, 9 teachers, 6 HODs, and 6 Principals. Data collection instruments included students’ and teachers' questionnaires, a teaching observation checklist, and HODs’ and Principals’ semi-structured interviews. Data collected was both quantitative and qualitative. The quantitative data was analyzed by way of both descriptive and inferential statistics using SPSS software. The study concludes that while most schools have ICT tools that they can use for teaching and learning, most teachers in those schools are not fully utilizing these tools due to a number of factors including lack of a culture of using ICT tools and expertise. Accordingly, the study recommends that schools should work out ways of encouraging the development of an ICT culture