Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Musyoki, Pauline Kamanthe"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    Tathmini ya Sura za Ufisadi Katika Riwaya za Tom Olali Mafamba (2012) na Watu wa Gehenna (2012)
    (Kenyatta University, 2025-11) Musyoki, Pauline Kamanthe; King'ei, Kitula Osore, Miriam
    Utafiti huu unafafanua sura tofauti za ufisadi. Mtafiti amefanya hivi kwa kushughulikia riwaya ya Mafamba (Olali, 2012) na Watu Wa Gehenna (Olali, 2012). Ufisadi ni suala tata ulimwenguni na hata nchini Kenya. Dhana hii ni pana ila maelezo yake katika fasihi ni finyu kwa kuwa, msisitizo umekuwa kwenye matumizi ya fedha za umma.Kulingana na Tume ya EACC (2016) kipengele cha iv, ufisadi unahusu unyanyasaji katika ofisi za umma, upendeleo, hongo, ulaghai, ukosefu wa uaminifu katika ofisi za umma, kutolipa ushuru au ada yoyote ile na kutofuata sheria zilizohidhinishwa kuteua viongozi katika ofisi za umma. Mtafiti ameangazia masuala hayo kwa kutathmini riwaya teule kwa lengo la kubainisha namna masuala hayo yalivyosawiriwa na kuleta uwezekano wa sura tofauti za ufisadi. Wahakiki kama vile; Muthumbi (2005), Ochenja (2008), Mayieka (2015), Sereti (2016), Mwaniki (2018) na wengineo wameeleza ufisadi kama matumizi mabaya ya fedha za umma na ndio sababu utafiti huu umeangazia sura tofauti za ufisadi. Riwaya zimeteuliwa kimakusudi na zimeangazia sura tofauti za ufisadi hivyo zilitupa data mwafaka. Nadharia ya Uhalisia wa Kijamaa na Udenguzi zilitumika. Nadharia ya Uhalisia wa Kijamaa inahusishwa na Karl Marx na fikra zake zilitokana na zile za mwanafalsafa Hegel (1971). Waitifaki wake ni Gorky, Baxandall, Terry, James Bisztray na wengine.Kumekuwa na ufisadi katika jamii yoyote ya kitabaka tangu Ujima,Utumwa ,Umwinyi, Ubepari, Ujamaa na Ukumiunisti. Nadharia hii hivyo basi ilitumika kuangazia mfumo wa kiuchumi ambapo kuna tabaka la juu na chini. Tabaka la juu huwa na mifumo ya uzalishaji mali. Njia wanazotumia kumiliki mali ni ufisadi. Tabaka la juu hukiuka maadili ya kiutawala wakijinufaisha na kudhalilisha watu wa tabaka la chini. Kwa kuwa nadharia hii inaelezea uhalisia kama ulivyo, haikuwezesha kutafuta maana zinginezo za ufisadi hivyo nadharia ya Udenguzi ilimfaa mtafiti kuangazia fasiri mbalimbali za ufisadi. Nadharia ya Udenguzi iliasisiwa na Jacques Derrida (1962).Waitifaki wake ni pamoja na Foucault, Roland Barthes, Jean Baudrillard Paul de Man, J.Hillis Miller, Jacques Lacan, Barbara Johnstone na wengineo. Kupitia mihimili ya nadharia hii mtafiti alieleza fasiri mbalimbali za ufisadi. Utafiti huu ulifanywa maktabani kwa kusoma vitabu teule, tasnifu, majarida na makala ya mitandaoni yanayohusiana na mada. Data ya kimsingi ilitolewa kwenye riwaya teule. Data hiyo ilichanganuliwa kwa kuzingatia malengo na nadharia zinazoongoza utafiti. Matokeo yamewasilishwa kwa kutumia njia ya maelezo. Utafiti huu utakuwa muhimu kwa wasomi na jamii kwa jumla hasa kwa kuagazia suala tata la ufisadi

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback