Recherche
Voici les éléments 1-10 de 19
Tathmini ya usimilisho wa riwaya na hadithi fupi kwa wanafunzi wa sekondari nchini Kenya.
(Kenyatta University, 2015)
Novel and short story genres of written literature are created to be read, but not to be dramatized as is the case with the play. For a period of about fifteen years adapters have made effort to dramatize swahili prose ...
Uchanganuzi wa methali za kiswahili: mtazamo wa kiudenguzi
(Kenyatta University, 2015)
Utafiti huu umezichanganua methali za Kiswahili kwa mtazamo wa kiudenguzi. Utafiti
huu umefanywa ikizingatiwa kuwa maana za matini hujiahirisha kwa ambavyo hakuna
matini iliyo na maana moja. Sababu kuu ya kuchagua mada ...
Siting text, culture, context and pedagogy in literary translation: a theorization of translation in cultural transfer with examples from selected texts in Kiswahili
(2011-12-16)
The study of literary translation in Kiswahili has over a long period of time tended to gravitate towards systematic comparisons based on minimalist classical linguistic formalism. This is a scholarly fact that is attested ...
Taathira za kiswahili na lugha nyingine kwa uthabiti wa kiisimujamii wa lugha za mama mijini Nairobi, Kiambu na Thika: mfano wa Kikuyu
(2015)
Utafiti huu ni wa kiisimujamii ulioangazia suala la mtagusano wa lugha za Kikuyu, Kiswahili, Kiingereza na Sheng miongoni mwa vijana wa jamii ya Kikuyu mijini Nairobi, Kiambu na Thika. Utafiti wenyewe umejikita katika ...
Taswira za kiuana katika nyimbo za tohara za wanaume miongoni mwa Waigembe
(2011-11-07)
Utafiti huu ni uchunguzi wa taswira za kiuana katika nyimbo za tohara za wanaume miongoni mwa Waigembe, nchini Kenya. Utafiti umehakiki majukumu, itikadi na mahusiano ya kiuana katika jamii ya Waigembe kupitia uchunguzi ...
Mabadiliko ya Maana za Leksia za Kiswahili: Mtazamo Linganishi wa Kikale na Kisasa
(Kenyatta University, 2020-09)
The purpose of this study was to investigate semantic changes in Kiswahili lexemes by comparing the pre-20th century Swahili and the modern Swahili from selected texts. The study identified lexemes that have undergone ...
Defamiliarization in the novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed
(2011-08-15)
The purpose of this study was to investigate the utility of defamiliarization techniques in selected novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed. The novels analysed were purposefully sampled. Kezilahabi's Rosa ...
Umilisi wa Stadi za Maamkizi Katika Ujifunzaji wa Kiswahili
(Kenyatta University, 2015-01-22)
Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza umilisi wa stadi za maamkizi na changamoto zinazowakumba wanafunzi wa shule za upili wanapoamkuana kwa Kiswahili. Zaidi ya hayo, utafiti ulilenga kubainisha chanzo na athari za changamoto ...
Usawiri wa mwanamke Muislamu katika jamii ya waswahili kama inavyobainika katika ushairi wa Kiswahili
(2012-04-10)
Utafiti huu umeshughulikia usawiri wa mwanamke muislamu katika jamii ya Waswahili kama inavybainika katika kazi za washairi walioteuliwa.
Lengo kuu la utafiti huu ni kuhakiki tungo za washairi walioteuliwa ...
The impact of language policy on the development of Kiswahili in Kenya, 1930-1990
(2012-05-17)
Like most African countries, Kenya is linguistically dependent on the language (English) of the former colonizers for education, national, and international communication. However, Kenya has declared Kiswahili, the lingua ...