Search
Now showing items 1-5 of 5
Tathmini ya usimilisho wa riwaya na hadithi fupi kwa wanafunzi wa sekondari nchini Kenya.
(Kenyatta University, 2015)
Novel and short story genres of written literature are created to be read, but not to be dramatized as is the case with the play. For a period of about fifteen years adapters have made effort to dramatize swahili prose ...
Uchanganuzi wa methali za kiswahili: mtazamo wa kiudenguzi
(Kenyatta University, 2015)
Utafiti huu umezichanganua methali za Kiswahili kwa mtazamo wa kiudenguzi. Utafiti
huu umefanywa ikizingatiwa kuwa maana za matini hujiahirisha kwa ambavyo hakuna
matini iliyo na maana moja. Sababu kuu ya kuchagua mada ...
Taathira za kiswahili na lugha nyingine kwa uthabiti wa kiisimujamii wa lugha za mama mijini Nairobi, Kiambu na Thika: mfano wa Kikuyu
(2015)
Utafiti huu ni wa kiisimujamii ulioangazia suala la mtagusano wa lugha za Kikuyu, Kiswahili, Kiingereza na Sheng miongoni mwa vijana wa jamii ya Kikuyu mijini Nairobi, Kiambu na Thika. Utafiti wenyewe umejikita katika ...
Umilisi wa Stadi za Maamkizi Katika Ujifunzaji wa Kiswahili
(Kenyatta University, 2015-01-22)
Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza umilisi wa stadi za maamkizi na changamoto zinazowakumba wanafunzi wa shule za upili wanapoamkuana kwa Kiswahili. Zaidi ya hayo, utafiti ulilenga kubainisha chanzo na athari za changamoto ...
Mwingilianotanzu Katika Fasihi Simulizi ya Kiafrika: Mfano wa Embalu na Mwaka Kogwa
(Kenyatta University, 2015)
This study focuses on multigenerism in the performance of embalu and mwaka kogwa rituals. The research was occasioned by the need to up the fight for the rightful space and status of African languages and literatures and ...