Now showing items 1-1 of 1

    • Usimulizi katika Riwaya ya Dharau ya Ini 

      Wambui, Janet (Kenyatta University, 2018-10)
      Utafiti ulichunguza usimulizi katika riwaya ya Dharau ya Ini (2007) ya Kyalo Wamitila. Malengo ya utafiti yalikuwa ni kubainisha sauti za usimuliaji na viwango vya usimulizi katika riwaya; kuonyesha nafasi ya wakati katika ...