Now showing items 1-1 of 1

    • Matumizi ya jazanda katika tamthilia tatu za Timothy Arege 

      Okwena, Sophie (Kenyatta University, 2013)
      Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya jazanda katika tamthilia za Chamchela ( 2007) , Mstahikiki Meya (2009) na Kijiba cha Mayo (2009) ambazo zimeandikwa na Timothy Arege. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya kimtindo. ...