Gatwiri, Joy Njue (Kenyatta University, 2015)
Utafiti huu ulinuia kutathrnini hadithi za watoto katika mtandao. Hadithi mbalimbali za
watoto zilichunguzwa arnbazo ni: visasili, hekaya, hurafa na hadithi zinazotokana na
methali. Njia rnbalimbali za matumizi ya mtandao ...